Hawa wanaopitia mada siyo vijana intelligence, maana niliwahi kutembea na slogan ya corona ya kuchukua tahadhari wakawa wanafuta but now ndiyo wanaitumia.Juzi kuna mtu aliandikwa uzi kua soko linaungua uku jamii forums ukafutwa leo hii imekua kweli
Duh....Hapo kuna mammtu yanafurahia watu waachie site za biashara
Yap. Lakini haimaaninshi kuwa wangeshindwa kuweka fire horse reel. Tatizo public buildings hata zinazojengwa Leo wanapenda kupuuzia emergency preparedness and response strategies!Unajua jengo limejengwa mwaka gani hilo? [emoji26]
Bila fire hydrants eneo la tukio fire wanakuwa watazamaji tu. Inasikitisha soko kuu hamna fire hydrant.Kweli mkuu nilisubiri anijibu, nione jibu lake!
Hawa huwa wanadhani lita 7000 zinaweza kuzima moto hata masaa matano.
6 bars pressure ina uwezo wa kudrain hizo lita 7000 within no time..
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Maji gani bwashee?Utakuta siku moto unawaka na maji yamekatika[emoji28]
Kwahy umati wote ule hapakuwa na mtu mwenye mali kule ndani.? Na mtu utaokoaje mali ya mwenzako wakati mali yako inaungua.?Ni sawa maana unaruhusu vipi mtu akaokoe mali isiyo yake?
Ya kuzimia motoMaji gani bwashee?
Wanga au wahanga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Poleni sana wanga...
unaweza kumkumbuka id yake?Mi binafsi kuna mdau alileta uzi umu nafikiri ni majuzi kwamba moto unawaka kariakoo kitu ambacho akikua kweli,baada ya muda ule uzi ukafutwa
Swali ni sisi kujiuliza yule mtoa uzi alikua na lengo lipi au aliwasha moto ikashindika iyo juzi? Leo hii ndio umefanikiwa ? Au unabii wa jf najiuliza apa sipati jibu?
Mi najiuliza ingekuwa ni ule wa mkasa wa Paris kanisa kushika moto mkubwa wangeweza kudhibiti chochote? I wish watafute documentary yake waangalie zimamoto walivyoefficientUle moto wangeweza kuudhibiti fire na sokoni ni karibu sana ...na uzuri ilikuwa jpili hakuna foleni ya watu kiasi hicho
Hii point inabidi iwe mada kabisaWalahu sasa yale mamilioni ya lisanamu yapate kazi ya kufanya
Kuhusu mitaji midogo fanya tafiti zaidi mkuu... Kuna mtu namjua ana duka la pembejeo na madawa ya mbalimbali ya mifugo na kilimo total asset ni almost 150mn+ na majuzi tu katoka kukopa benk ili kuongeza mtaji kiufupi kuna units ndani mule wana mali za thaman kubwa tu na wamepata hasara kubwa sana.kariakoo fire wamemwagwa kila kona, wanatoza watu ada za mwaka, hela za mtungi na service, hakuna excuse aisee washindwe kuzima moto jengo moja, lile jengo wafanyabiashara wake wote wana mitaji midogo, wapo zaidi ya 100 mule, nina uhakika hawana bima, sijui hata wana hali gani sasa hivi.
Makonda bado hajafika ila rais Mkapa yupo eneo la tukio, tizama TBC1 muda huu anaongeaJe mkuu wa mkoa RC Makonda kafika?
Wao wanadhania ile pressure ni kama ya kumwagilia mchicha!!Kweli mkuu nilisubiri anijibu, nione jibu lake!
Hawa huwa wanadhani lita 7000 zinaweza kuzima moto hata masaa matano.
6 bars pressure ina uwezo wa kudrain hizo lita 7000 within no time..
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app