Hii isipuuzwe hata mimi niliuona uzi kama huo nikajiuliza hii kariakoo gani ya leo.
Yule mtu aliyeandika uzi achunguzwe vizuri kwa nini alisema linawaka moto alafu leo imetokea.
Au ni time traveller ?
Dah aisee mbona Kama ilipangwa sasa?!!Jamaa maji yameisha na wamesepa moto bado unateketeza..[emoji26][emoji26]
The way moto ulikoanzia kuwaka lazima uwashinde..! Moto umeanza kuwaka juu aisee mpaka ushafika chini alafu kumbe tangia saa 12Utshangaa fire watashindwa kuuzima na wako hapo jirani tu.
ile Kesi iliyokua inaikabiri jamii forum ilikua na chanzo kama hiki.Hii isipuuzwe hata mimi niliuona uzi kama huo nikajiuliza hii kariakoo gani ya leo.
Yule mtu aliyeandika uzi achunguzwe vizuri kwa nini alisema linawaka moto alafu leo imetokea.
Au ni time traveller ?
Mimi sijui mkuuDah aisee mbona Kama ilipangwa sasa?!!
Msiwalenge waliopigwa chini tuHapo kuna namna, wale viongozi wa soko waliopigwa chini na madame president kuna namna hapa wanaweza kuhusika katika hili. Tutaanza na hawa kwenye uchunguzi wa tukio hili
Mkuu unataka huko Kigamboni nako palipuke kupoteza ushahidi??Tatizo Samia ameingilia mqmbo ya watu wa soko la Kariakoo. Wameamua kuondoa ushahidi Sasa.
Huyu mama kwann hashughulikii wizi wa mafuta Kigamboni????
Tatizo Samia ameingilia mqmbo ya watu wa soko la Kariakoo. Wameamua kuondoa ushahidi Sasa.
Huyu mama kwann hashughulikii wizi wa mafuta Kigamboni????
Mbona hamsemi ni mwendazake au..?Mbona ajali za Moto nyingi sana
Sijawahi msingizia huyo jamaa vitu kama hivyoMbona hamsemi ni mwendazake au..?
Hapo ndo huwa nachoka, kuwapa fire kila hitaji hawawezi ila kila DC na RC ana V8 yake daaah nchi yanguTanzania katika uokoaji bado sana yaani saa zaidi ya nne moto wameshindwa kuuzima ,inasikitisha sana!! Fire Hydrant hakuna k/koo? wameshindwa kufanya uwekezaji wa Fire Hydrant? Ma VX/Kilimo kwanza ya milioni 400 kwa kila dc/rc/ded/das/ras wameweza ila Fire Hydrant wameshindwa.
Basi hii itakuwa ni sabotage!Juzi kuna mtu aliandikwa uzi kua soko linaungua uku jamii forums ukafutwa leo hii imekua kweli
Dah sema TBC wallah wale mchwa hata habari awanaKama unatumia Dstv na huna pesa ya kulipia ni bora uzime tv isije kupigwa shoti ikafwa kuliko kuangalia TBC, yani sasa hivi wanaonyesha matangazo ya Sabasaba