Soko la Karume limeungua moto

That being said tunahitimisha kuwa raia wa tanganyika wamekubaliana na ukandamizaji unaofanywa na majizi ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yupo ofisini serikalini huko anakula kiyoyozi tu atakuwa na shida gani na serikali ya ccm? Ndio maana hata tukisema tuandamane wanaotizamwa ni hao wamachinga na sio wengine.
 
We unaongelea firearms sijui safety nini, huo moto ni wa mchongo!😅
 
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Mbuzi wengine kamba zao zinafika hadi Ulaya na Marekani, wanaenda huko kusaini mikataba ya kilaghai.
Mama anaupiga mwingi sana
Hamna namna ingine nafurahi kuona Legacy ya Mwendazake imechomwa na kuteketea kama ilivyoada 😅

Tumpongeze bibi tozo na naomba aongeze tozo zaidi ili akili ziwakae sawa wapiga zumari wake, naona kila mtu anakula eneo lake sasa mambo ni mswano kabisa.

Nchi imerudi kwa wenyewe 😅
 
Kama yanaungua kwa michongo wote waliofanya huo mchongo Mungu anawaona. They gonna burn in hell. Soko limeajiri vijana wengi ambao wengi wetu ni mpaka uende sokoni ndo upate unafuu wa maisha sasa familia zetu zitakula nini jamani daaa
Mupate hasira you have to do something about it!
 
I used to respect you man but with this kind of thinking, nigga you about to lost a fan! Huwezi ku act like a crazy muthafucka without brains...
 
Ni sh ngap boss hapo mlimani city?
Pale sandles za mtoto ni kuanzia 55k.hahahaha..

Nna dada angu m1 huyo yeye akiingia gsm dula la watoto..kuacha 1m ni kitu ya kawaida...kuna siku nkamwambia hiv sista unajua wewe ni kiaz..akasema yeye hapend kwenda kkoo sabab hawez kupark gar..hahah...nkasema haya bwana...tumeingia duka lingne akanambia chkua hzo sandles znakutosha..kitu kinasoma 115k..nkamwambia anipe hyo hela nkachkue kkoo kwa 30..kumbe bwana anachanja card..hahahah...akasema yeye cash hana.hahah.ikabid nichkue tu...115k..sandles..ila huwez amin nikizivaaga lazima mtu aulize mjomba huo mguu umeuchkua ngap....aisee...kuna watu wanaish maisha aisee...so tupambane tu
 
Hahah..anaupiga balaa...lizi waziri ujue na nape.hahahah.nazid kukukera chief
 
Hela yake halaf unamwambia ni kiazi? 🤔. Heee
 
Watu hawaelewi yani wamewasha viswaswadu huku ujenzi unaendelea na kwa speed ile kuna uwezekano asubugi wakapanga na bidhaa kabisa na wateja wa mapema watapa discount
Sure, wameona serikali longo longo bora wapige wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…