Soko la Machinga Dodoma, tumpe Rais Samia maua yake

Limeanzwa na JPM na frem zipo WAZI hao unaowaona wanazuga tu huku mtaani wanavunja vibanda wakishikiza watu kuhamia hapo.

Ni kama machinga complex Dar kuna maajabu gani horofa kwanza tu wamejaa wauza simu na mafundi laptops
Katika eneo ambalo wananchi wanaeleimishwa sana ni Dodoma.

Pale ada kwa siku ni Tshs 1,000.

Soko limejaa halina nafasi za wazi. Bidhaa ni bei nafuu kama Kariakoo.

SGR ikianza naamini neema nyingi zitakuja kwa wakaI wa Dodoma kupata unafuu wa maisha
 
We mgeni njoo zivimba baada ya mstar wa3 uona kama kuna watu.
Mtu alikuwa na banda la kama duka halafu aje apange bidhaa mezani?
 
Ila dodoma pagumu sana
 
Ila dodoma pagumu
 
Ila iwe ni maeneo Yale Yale potential,pia ilitakiwa ujenzi wa Barabara au stand uwe unazingatia maeneo ya machinga Ili watengewe maeneo Yao Kwa maana wasiwe wanazurula Kila mahala Wala kwenda kuweka bidhaa mbele ya wenye maduka.
Wataalam wa TAMISEMI na Wizara ya Ujenzi wakikaa pamoja wanaweza kufanikisha hii mipango.

Pale Morogoro kukiwa na plan nzuri na hata Mwanza vitasaidia sana kuondoa vurugu za wachuuzi kutumia barabara kama eneo la biashara
 
Mama Samia nu ntu ws vitendo zaidi. ukimuona kimya utadhani hafanyi, mra ynastykia kitu hichi, tayari.


Allah azidi kumoa hekima na utendaji uliotukuka.

Hili soko pekee ni legacy isiyo na mfano Tanzania.

Nashauri kila wilaya ya Tanzania iige mfano huo, tuibadilishe taswira nchi. Maana hapo hata wamachinga wamepanda hadhi.



Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Sema vitu vinauzwa Bei sana nimegusa juzi apo training shoes haieleweki eti elf 50
 
Soko ni legacy ya Magufuli
 
Hakuna serikali ya kipigaji kama hii ya Sa100, yaani soko ambalo materials % yote imetoka hapa hapa bongo hasa chuma na cement eti limegharibu pesa za Tz Bilioni 9!!!.
Hakika Mama anaupiga mwingi hadi kwenye matope!
 
Sema vitu vinauzwa Bei sana
Nilifanya shopping ndogo hapo niliona is fair kiasi kwa sababu huwezi kulinganisha na kariakoo. Distance ya kusafirisha bidhaa inahusika na kupanga bei.

SGR inaweza kusaisia kupunguza gharama.

Lakini kwa bidhaa za nyumbani kama mazao nahusi siyo ghatama kubwa
 
Sahihi Kwa vyakula. Ulijaribu kugusa nguo na viatu🤔🤔
 
Soko ni legacy ya Magufuli
Hivi nani alikuwa makamo wa Rais wakati wa Magufuli? Unajuwa maana ya kazi iendelee?


Raus wa Tanzania ans uwdzo wa kuzuwia muradi yite aliyoikuta, kama alivyofanya mwendazaks, alizuwia miradi ya gas, alizuuwia miradi ya bandari Bagamoyo na Tanga na aliendelea kuwapa wezi TICTS bandari ya Dar. Ambayo tayri Kikwete alianza mazubgumzo ba AD Ports na Hutchison, mwenda zake akayapiga chini. Unayajuwa hayo? Usisifie ujinga.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Hakuna serikali ya kipigaji kama hii ya Sa100, yaani soko ambalo materials % yote imetoka hapa hapa bongo hasa chuma na cement eti limegharibu pesa za Tz Bilioni 9!!!.
Hakika Mama anaupiga mwingi hadi kwenye matope!
Mkuu
SIkatai hata kidogo ingawa mimi nilichokiona ni uwepo wa soko ambao utadumu vizazi na vizazi.

Upigaji upo nanutakuwepo kwa sababu tunadeal na petty issues badala masuala ya msingi yanayoweza kuleta taasisi imara zenye kuenzi maslahi ya nchi kuliko ya viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…