Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Soko zuri Sana
Shida ipo wakati wa mvua bati liko mbali sana.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Soko ni legacy ya Magufuli
Nenda hapi baada ya miezi sita uje ulete mrejesho!! Mwafrika hajaweza kujitawala bado.Wengi watashangazwa na huu uzi.
Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita.
Tembea uone.
View attachment 2660495
Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la Machinga umefanikiwa kwa kiasi kukubwa.
Sijajua kwa undani soko hilo likikamilika linapaswa liweje lakini kwa kila Mtanzania na mgeni anayetembelea atakubaliana nami kuwa soko hilo linaweza kuwa la kisasa kwa afrika mashariki na kati.
View attachment 2660496
Nimekuta wamachinga wamepangwa vizuri, alama za wapi utakuta aija ya bidhaa unazotafuta zinaonekana kwa uwazi. Zimeandikwa kwa lugha yetu tukuka ya kiswahili ambapo ni uamuzi wa dhahabu. Usafi wa soko na hata huduma mbalimbali muhimu kwa machinga na wanunuzi zipo. Nimekuta lipo eneo limetengwa ndani ya soko la wamama kunyonyeshea, kuna ATM, store, vyoo vizuri. Maeneo ya baba na mama lishe yametengwa vizuri hata sehemu za nyama choma nje ya soko zinashawishi kwani meza za wateja ni za marble ambazo zinadumu kuliko mabati na mbao.
View attachment 2660501
Kelele ndani ya soko zimedhibitiwa ambapo wenye vipaza sauti hawaruhusiwi kufungulia sauti kubwa.
Kuhusu usafiri, soko limejengwa pembezoni mwa barabara kuu huku kukiwa na kituo kikubwa cha daladala kuelekea maeneo mengi ya jiji la dodoma. Kimsingi serikali imewatendea haki wamachinga kwani imeamua kuwaweka mahala sahihi ambapo haimlazimishi mteja kwenda umbali mrefu kutafuta petty goods. Nilimuuliza mmachinga mmoja wanalipa kiasi gani kwa siku akasema wanalipa Tshs 1,000 na akaenda mbali zaidi kuwa anaiona ni fair kwa sababu soko halikauki wateja pia alilinganisha na eneo lake la biashara pale Kariakoo aliloamuq kuachana nalo kwa sababu hata hrla wlizokuwa wanatoa kwa jiji hazikuzuia harassments za mgambo na kukithiri kwa uchafu.
Tofauti na majiji mengine kama Dar, wamachinga wanaondolewa maeneo potential kwao na kutupwa nje pembezoni mwa mji ambapo hata miundombinu kama vyoo, umeme , usafiri vinakuwa ni taabu.
Kwa mfano pale Kariakoo wangechukua mfumo wa soko la Machinga Dodoma hakika wangeweza kukidhi takwa la serikali kuwakusanya machinga na hata wakachangia pato la jiji kwa tozo watakazolipa. Serikali inaweza kuongea na NHC wakapanua eneo lile kulifanya liwe efficiency kwa biashara.
Pale Mbagala Zakhiem kuna utopolo umejengwa ambapo wamachinga hawatakuwa na nafasi zaidi ya wafanyabishara wenye msuli wa fedha.
Kwenye hili soko la Machinga Dodoma, tuungane kumpongeza Mama Samia kwa sababu amefanikiwa kuwapatia machinga sehemu stahiki kwa shughuli zao. Pia kama ikipendeza masoko kama haya yajengwe kwenye majiji hapa nchini na kuangalia pale Mbezi Mwisho kujenga soko la Machinga la kisasa ili kuongeza wigo wa nchi jirani kuja kununua bidhaa kama wanavyofanya Kariakoo na Mbagala.
Muwe na weekend njema
CC: Pascal Mayalla ChoiceVariable bubex_jr johnthebaptist emback Ne91cM Mzee Mwanakijiji Dr. Mariposa Dr Matola PhD FaizaFoxy Mohamed Said
Jiji la pesa hili😃😃 karibuIla dodoma pagumu
Nikweli tumpongeze saaana saaana. Tatizo ni Moja kwamba, haitakuja kutokea tujenge majengo ya machinga ya kutoshereza idadi Yao. Hapo walipojenga tayariii hapatoshi. Kwa nini hapatoshi sababu ni hiiii;Wengi watashangazwa na huu uzi.

Tuna sapoti ujinga badala ya kuja na sera nzuri za Vijana kuwekeza tunawatengenezea nazingira ya wao kuendelea kuwa wajinga, Hao wana siasa kuna ndugu zao ni Machinga?Wengi watashangazwa na huu uzi.

Wasoko ya Wanyonge si ndio? Wapiga kura ili watu waendelee kufaidi mema ya nchi hii lazima wa hanasishe umachingaPongezi nyingi sana Kwa Rais Samia alitoa pesa za COVID zikafanya kazi hii ku top up pesa za Jiji..
Pia Mtaka na yule alikuwa DED wa Dom walifanya kazi nzuri
Neema ipi? Hilo soko linauza nini kama.sio asilimia 100 peoduct za kichina? Na nguo za mitumba kama Boxer na Sidiria? Badala ya nchi kuwekeza kwenge sera za viwanda viajana wapate ajira tunawekeza kwenye danganya Toto,Hakika hii ni neema kwa machinga
Mama Samia pokea mauwa yako kwa upendo, heshima na taadhima👇🏾Wengi watashangazwa na huu uzi.
Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita.
Tembea uone.
View attachment 2660495
Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la Machinga umefanikiwa kwa kiasi kukubwa.
Sijajua kwa undani soko hilo likikamilika linapaswa liweje lakini kwa kila Mtanzania na mgeni anayetembelea atakubaliana nami kuwa soko hilo linaweza kuwa la kisasa kwa afrika mashariki na kati.
View attachment 2660496
Nimekuta wamachinga wamepangwa vizuri, alama za wapi utakuta aija ya bidhaa unazotafuta zinaonekana kwa uwazi. Zimeandikwa kwa lugha yetu tukuka ya kiswahili ambapo ni uamuzi wa dhahabu. Usafi wa soko na hata huduma mbalimbali muhimu kwa machinga na wanunuzi zipo. Nimekuta lipo eneo limetengwa ndani ya soko la wamama kunyonyeshea, kuna ATM, store, vyoo vizuri. Maeneo ya baba na mama lishe yametengwa vizuri hata sehemu za nyama choma nje ya soko zinashawishi kwani meza za wateja ni za marble ambazo zinadumu kuliko mabati na mbao.
View attachment 2660501
Kelele ndani ya soko zimedhibitiwa ambapo wenye vipaza sauti hawaruhusiwi kufungulia sauti kubwa.
Kuhusu usafiri, soko limejengwa pembezoni mwa barabara kuu huku kukiwa na kituo kikubwa cha daladala kuelekea maeneo mengi ya jiji la dodoma. Kimsingi serikali imewatendea haki wamachinga kwani imeamua kuwaweka mahala sahihi ambapo haimlazimishi mteja kwenda umbali mrefu kutafuta petty goods. Nilimuuliza mmachinga mmoja wanalipa kiasi gani kwa siku akasema wanalipa Tshs 1,000 na akaenda mbali zaidi kuwa anaiona ni fair kwa sababu soko halikauki wateja pia alilinganisha na eneo lake la biashara pale Kariakoo aliloamuq kuachana nalo kwa sababu hata hrla wlizokuwa wanatoa kwa jiji hazikuzuia harassments za mgambo na kukithiri kwa uchafu.
Tofauti na majiji mengine kama Dar, wamachinga wanaondolewa maeneo potential kwao na kutupwa nje pembezoni mwa mji ambapo hata miundombinu kama vyoo, umeme , usafiri vinakuwa ni taabu.
Kwa mfano pale Kariakoo wangechukua mfumo wa soko la Machinga Dodoma hakika wangeweza kukidhi takwa la serikali kuwakusanya machinga na hata wakachangia pato la jiji kwa tozo watakazolipa. Serikali inaweza kuongea na NHC wakapanua eneo lile kulifanya liwe efficiency kwa biashara.
Pale Mbagala Zakhiem kuna utopolo umejengwa ambapo wamachinga hawatakuwa na nafasi zaidi ya wafanyabishara wenye msuli wa fedha.
Kwenye hili soko la Machinga Dodoma, tuungane kumpongeza Mama Samia kwa sababu amefanikiwa kuwapatia machinga sehemu stahiki kwa shughuli zao. Pia kama ikipendeza masoko kama haya yajengwe kwenye majiji hapa nchini na kuangalia pale Mbezi Mwisho kujenga soko la Machinga la kisasa ili kuongeza wigo wa nchi jirani kuja kununua bidhaa kama wanavyofanya Kariakoo na Mbagala.
Muwe na weekend njema
CC: Pascal Mayalla ChoiceVariable bubex_jr johnthebaptist emback Ne91cM Mzee Mwanakijiji Dr. Mariposa Dr Matola PhD FaizaFoxy Mohamed Said
Hao ni waliga kura wakohapo ndio nhia pekee za kuhakikisha watawala wanatawalaKwanini Machinga wanataka endelea kuwa Kariakoo?
Dodoma kuna sehemu iko kama Kariakoo?
Sitaki kukaa dodoma ata bure 🤣🤣 sijavutiwaJiji la pesa hili😃😃 karibu
Nnia pekee ya kuondokana na Macbibga ni uwekezaji kwenye viwanda, vijana wapate ajira, au uwekezaji mkubwa kwemye kilimo.Soko ni landmark lile.
Serikali ikiwekeza ktk ideas kama hizo tutaondokana na wamachinga kuvamia mabarabara na kutembeza bidhaa kwenye bars.
Mapato yataongezeka
Hakuna kitu hapo, naumia sana kuona Taifa tuna risishana ujinga, wakati wenzetu wana risishana akili. Unachinga ni vitu ya ku descourage kwa gharama yoyote ile, ila Bongo tuna hamasisha Unachinga si kwa sababu za Kiichumi bali za kisiasaLimeanzwa na JPM na frem zipo WAZI hao unaowaona wanazuga tu huku mtaani wanavunja vibanda wakishikiza watu kuhamia hapo.
Ni kama machinga complex Dar kuna maajabu gani horofa kwanza tu wamejaa wauza simu na mafundi laptops
Bidhaa zipi zimejaa za vuwanda vya Tanzania?Katika eneo ambalo wananchi wanaeleimishwa sana ni Dodoma.
Pale ada kwa siku ni Tshs 1,000.
Soko limejaa halina nafasi za wazi. Bidhaa ni bei nafuu kama Kariakoo.
SGR ikianza naamini neema nyingi zitakuja kwa wakaI wa Dodoma kupata unafuu wa maisha
We hujui?Nini kifanyike
Huna helaSema vitu vinauzwa Bei sana nimegusa juzi apo training shoes haieleweki eti elf 50
Mkuu we ukichangia uchumi inatosha 😎Hakuna kitu hapo, naumia sana kuona Taifa tuna risishana ujinga, wakati wenzetu wana risishana akili. Unachinga ni vitu ya ku descourage kwa gharama yoyote ile, ila Bongo tuna hamasisha Unachinga si kwa sababu za Kiichumi bali za kisiasa