Kwani soko la mapenzi limeingia mchanga au limevaa ndondo cup
Skuhizi bwana mpaka umpate mwanaume anakutongoza, nenda kanisani ukatoe sadaka kabisa
Ukipata hata mwanaume anakupeleka kwake ushukuru Mungu
Ukipata mwanaume anakununulia hata maji ya kunwa basi nenda Kwa Yatima Katie sadaka
Wanaume kama hao waliotajwa Kwa sasa NI rare editions
Yani wanawake sahivi tumepaukaa, tunamavumbiiii, tumechoookaaa kuliko hata wanakawa WA zamani
Wakowapi wanaume WA kuwa take care wanawake kizazi hiki??
Hiki kilio cha wanawake kuteseka kitaisha lini??
Alisikika mlevi mmoja kariakoo akiongea Kwa uchungu, baada ya saa za kazi, huku machoI na makamasi yakimtoka
Sasa WA kumlaumu Nani?!
1. Vikoba
2. Marejesho
3. Kizazi cha sasa
4. Malika WA nguvu??
Hamna picha Kwa Leo, we tafuta picha yako ya mlevi weka kichwani mwako.