Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

Lodge kila kona, watu wengi hatufahamiani kwahiyo aibu imepungua.
Pia watu wa sasa tumekuwa na mahitaji na malengo makubwa sana wanaume kwa wanawake, hii inafanya wanaume tuwe bahili kwa maana kupunguza matumizi ya sio lazima. Upande wa pili ndio unatumia Uchi kufanikisha malengo
Kwasababu ya utandawazi ndio maana wanawake wanataka vitu vizuri
Zamani mama yako hata TV alikuwa Hana expectations zipo ulitaka ampe Baba yako
Wewe mwenyewe umesoma kayumba,
Kungekuwa na king'amuzi Miaka ya 70 wewe ungeshasoma Harvard sasahivi
 
Back
Top Bottom