Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Hela ngumu nowdays....hahahaMtoe hela jamaan mtatuua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela ngumu nowdays....hahahaMtoe hela jamaan mtatuua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata zamani ilikuwa ngumu wakawa wanakula madafuHela ngumu nowdays....hahaha
Kwa Neema ya MunguWanawake mnapitia kipindi kigumu sana ajira hakuna,madanga hakuna sijui mnaishije
AMINAWashindwe Kwa damu ya Yesu
Wanawake wakuolewa walikuwa zamani walikuwa wanalelewa malezi mazuri walikuwa na heshima zamani mwanamke ukimjali atarudisha upendo kwako wengi walikuwa wapo tayari kuanza maisha ya chini na wanaume ndio mana mapenzi yalikuwa yanaanza kwenye uchumba hadi ndoa tuwape maua yao wanawake wa sasa hawataki kabisa hiyo kitu mwanaume wa kuanza nae maisha pamojaCant answer for him. But wanawake miaka ya nyuma they were different. Hakuwa na un realistic standards walionazo hawa wa sasa.
Nimecheka kaa fala aseee. 🤣🤣🤣🤣Miaka 15 ijayo kwenda mbele wanaume tutakuwa hatuna haja ya kufanya kazi
Kazi yetu itakuwa ni kuwasuuzeni tu
Kwa sababu mmetaka usawa kuona wanaume tunafaidi kwa mtakapokuwa na hela mambo yatabadilika wanawake wengi wakiwa na hela mwanaume kufanya kazi ni kupenda kwako hela zitakuwa zipo tu wakati huo mtabeba hadi zege sisi tutakuwa tunakuna pumbu tu mda huo tunaangalia pisi kali tu alafu zenye njuruku
💯💯💯🖐️🖐️🖐️🖐️✊✊✊✊Wanawake wakuolewa walikuwa zamani walikuwa wanalelewa malezi mazuri walikuwa na heshima zamani mwanamke ukimjali atarudisha upendo kwako wengi walikuwa wapo tayari kuanza maisha ya chini na wanaume ndio mana mapenzi yalikuwa yanaanza kwenye uchumba hadi ndoa tuwape maua yao wanawake wa sasa hawataki kabisa hiyo kitu mwanaume wa kuanza nae maisha pamoja
siku hizi wanawake wamezidisha ubinafsi zaidi ata ukimjali kwa matunzo atakuona danga na tena mjinga atakutumia kufanikisha mipango yake binafsi ukikwama huna chako biashara ya mapenzi imekuwa ni biashara ya kitapeli sana
Am glad kwamba sijawahi kuwa kwenye kikoba au mkopo wowote.Vikoba oyeee
Kausha damu beibiii
Mungu akunusuru na hili wenzio wanadhalilika siku ikifika bodaboda anaonekana ni meneja wa bank siku hioAm glad kwamba sijawahi kuwa kwenye kikoba au mkopo wowote.
Naona kabisa siwezi hayo mambo😃
😃😃 hatariMungu akunusuru na hili wenzio wanadhalilika siku ikifika bodaboda anaonekana ni meneja wa bank siku hio
U goalkeeper Sio ishu kuliko utii,kazi ya mwanamke Sio kutafuta ni kulishwaKama wewe mwanamke ni financially independent sidhani kama utakua na muda wa kulalama kwanini hutongozwi, kwanini hukaribishwi kwa mwanaume na vingine ka hivyo.... coz utasubiri the right time kama wako yupo yupo tu.....
Ila kama mwanamke wewe ndio financially dependent kwanini usiwaze hivyo ooh sitongozwi oooh sjui nini.. Dada pambana tafuta maisha amna mahali inaposemekana mwanamke kaa mtegemee mwanaume.. ndio maana wengi mnaishia kutumika kisa pesa na kuachwa masingo maza...then mnarudi kusema wanaume hawafai.... dada nikuambie tu hakuna mwanaume anataka mwanake goalkeeper kwa maisha haya nooo. Mwanamke jishughulishe na usipende kua tegemezi. Mkiendelea kutegemea hela za bure mtasubiri sana.
Me nawashauri tu wanaume....
"NEVER OPEN YOUR WALLET TO PROVE YOUR LOVE"
Manzi anajielewa mno huyuMungu akunusuru na hili wenzio wanadhalilika siku ikifika bodaboda anaonekana ni meneja wa bank siku hio
kama wewe unajimudu sio shidaU goalkeeper Sio ishu kuliko utii,kazi ya mwanamke Sio kutafuta ni kulishwa