Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

Kwani soko la mapenzi limeingia mchanga au limevaa ndondo cup

Siku hizi bwana mpaka umpate mwanaume anakutongoza, nenda kanisani ukatoe sadaka kabisa

Ukipata hata mwanaume anakupeleka kwake ushukuru Mungu

Ukipata mwanaume anakununulia hata maji ya kunywa basi nenda Kwa Yatima Katie sadaka

Wanaume kama hao waliotajwa Kwa sasa NI rare editions

Yani wanawake sahivi tumepaukaa, tunamavumbiiii, tumechoookaaa kuliko hata wanakawa wa zamani

Wakowapi wanaume wa kuwa take care wanawake kizazi hiki?

Hiki kilio cha wanawake kuteseka kitaisha lini?

Alisikika mlevi mmoja kariakoo akiongea kwa uchungu, baada ya saa za kazi, huku machoI na makamasi yakimtoka

Sasa WA kumlaumu Nani?!
1. Vikoba
2. Marejesho
3. Kizazi cha sasa
4. Malika WA nguvu??

Hamna picha Kwa Leo, we tafuta picha yako ya mlevi weka kichwani mwako.
Wanaume tumegundua kuwa kukulana hivyo sio dili...hatuhongi tena
 
NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2. "Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi
3. Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae
4. Je, mapenzi ni mabaya?
5. Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?
6. Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini
7. What you see is what you get!
8. Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?
9. Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?
10. Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
11. Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa
12. Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!
13. ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?
14. Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu
15. Story: Money Penny ni nani lakini?!
Ukiona hivyo ujue umeshazeeka na kuchoka, upo 30+, wanawake wanaotongozwa na kuhudumiwa bado wapo, hatuwezi kuhamgaika na skrepa used, tunataka vibinti vibichi tufaidi utamu wao.
 
Wanawake WA zamani wangepata exposure kama wanazopata WA sasa nadhani realistic standard zingekuwa the same don't you think??
Hao wanawake wa zamani wapo mpaka sasa ni wamama, na teknolojia ya mitandao wanaishihudia, lakini hawana mambo ya kipumbavu kama wanawake wa sasahivi.
 
Ukiona hivyo ujue umeshazeeka na kuchoka, upo 30+, wanawake wanaotongozwa na kuhudumiwa bado wapo, hatuwezi kuhamgaika na skrepa used, tunataka vibinti vibichi tufaidi utamu wao.
Ivi unajua wanawake WA Miaka 35 -48 wanatongozwa na wanaume wengi Sana na WA maana kuliko hawa WA Miaka 20 mpaka 30?
Sijui kwanini mnadanganyana huku mtaani
 
Hao wanawake wa zamani wapo mpaka sasa ni wamama, na teknolojia ya mitandao wanaishihudia, lakini hawana mambo ya kipumbavu kama wanawake wa sasahivi.
Ya kipumbavu yapi?.
Sasa Una mkasirikia Nani Kwan tulikwambia uzaliwe Leo?
 
Miaka 15 ijayo kwenda mbele wanaume tutakuwa hatuna haja ya kufanya kazi

Kazi yetu itakuwa ni kuwasuuzeni tu
Kwa sababu mmetaka usawa kuona wanaume tunafaidi kwa mtakapokuwa na hela mambo yatabadilika wanawake wengi wakiwa na hela mwanaume kufanya kazi ni kupenda kwako hela zitakuwa zipo tu wakati huo mtabeba hadi zege sisi tutakuwa tunakuna pumbu tu mda huo tunaangalia pisi kali tu alafu zenye njuruku
Njuruku ni nini?
 
Back
Top Bottom