Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

Kama wewe mwanamke ni financially independent sidhani kama utakua na muda wa kulalama kwanini hutongozwi, kwanini hukaribishwi kwa mwanaume na vingine ka hivyo.... coz utasubiri the right time kama wako yupo yupo tu.....
Ila kama mwanamke wewe ndio financially dependent kwanini usiwaze hivyo ooh sitongozwi oooh sjui nini.. Dada pambana tafuta maisha amna mahali inaposemekana mwanamke kaa mtegemee mwanaume.. ndio maana wengi mnaishia kutumika kisa pesa na kuachwa masingo maza...then mnarudi kusema wanaume hawafai.... dada nikuambie tu hakuna mwanaume anataka mwanake goalkeeper kwa maisha haya nooo. Mwanamke jishughulishe na usipende kua tegemezi. Mkiendelea kutegemea hela za bure mtasubiri sana.
Me nawashauri tu wanaume....
"NEVER OPEN YOUR WALLET TO PROVE YOUR LOVE"
Kuna wanawake ambao wako financially free na wanatongozwa kama Jua linavyowaka Kwa uaminifu

Kuna ambao wako financially free na hawatongozwi

Don't blame it on money au financial freedom son
 
ILE 50/50 MLIYOITAKA NDOO HII MPALANGANE NAYO SASA, NA MSIJE MKATINGISHIKA SINDANO ITAKATIKIA KWENYE TAKO MTULIE HIVYO HIVYO DAWA IINGIE.
Na imewafanya wanaume muonekane ma mama
Yani NI mama wanaume mmeibiwa nyota na akina mama
 
Back
Top Bottom