Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaWell wanawake wa kipindi hiki mmeweka standard za juu wkt mna offer kidogo sana kwenye maisha ya mwanaume
So wanaume baada ya ku suffer muda mrefu wameona wawaachie standards zenu mpambane nazo
Wengi wame give up
Wajuvi wa mahusiano wanakwambia most men are invisible to women..Cant answer for him. But wanawake miaka ya nyuma they were different. Hakuwa na un realistic standards walionazo hawa wa sasa.
Wajuvi wa mahusiano wanakwambia most men are invisible to women..
Modern women bana, hehehe mwanaume niwe the so called "type yake" niwe tall, handsome, niwe na hela, gari, nyumba, niwe generous kwenye kuhonga, and that's not enough still awe na hisia na mm, wenyewe wanaita moyo, bado mm ndio nina jukumu la kumfuata na kumtongoza, hee Detective J
Ngoja nianze kubana sitoi mpaka ndoa😂😂😂Sasa tunazalisha tu tunaongeza idadi ya singo maza wanawake wazururaji madanga na walevi...
If you can get milk for free, Why buy the cow...????
Me namkubali balaa. Kila nikisoma comments zake mwili unasisimka.Manzi anajielewa mno huyu
Umesahau pia kuna mashoga nao wanakaba wapate wanaumd hao hao.UShindani ni mkubwa sana, imagine mwanamke wa miaka 40 nae yupo sokoni kucompete na binti wa 17 yrs.
Eg. Paula na mama yake.
Hapo lazima soko liwe gumu, hao 40s wakiona soko gumu sana wao sasa ndio wanawahonga wanaume, hapo wanawawekea kauzibe teenagers, teenagers nao sasa wamebwinu mbwinu ya kuvaa kimitego bila kujali umri wao , alooo ngoma ni nzito acha tujilie tu sie.
Recho unatumia Mtandao gani umoja wa wanaume tukupe chochote kitu?Uyo mlevi itakua hajalewa uyo wanaume kama hao tele tu Shida iko kwetu sisi Wanawake tunataka mambo mengi bila ya kufikiria uwezo wa wapenzi wetu
Hao niliwasahau hao mkuu, wapo nao kwenye kusaka wanaume.Umesahau pia kuna mashoga nao wanakaba wapate wanaumd hao hao.
Na Sisi TUTAKUWA tunawadekiaMiaka 15 ijayo kwenda mbele wanaume tutakuwa hatuna haja ya kufanya kazi
Kazi yetu itakuwa ni kuwasuuzeni tu
Kwa sababu mmetaka usawa kuona wanaume tunafaidi kwa mtakapokuwa na hela mambo yatabadilika wanawake wengi wakiwa na hela mwanaume kufanya kazi ni kupenda kwako hela zitakuwa zipo tu wakati huo mtabeba hadi zege sisi tutakuwa tunakuna pumbu tu mda huo tunaangalia pisi kali tu alafu zenye njuruku
Hata sasahivi wanaoleka na wanaishiWanawake wakuolewa walikuwa zamani walikuwa wanalelewa malezi mazuri walikuwa na heshima zamani mwanamke ukimjali atarudisha upendo kwako wengi walikuwa wapo tayari kuanza maisha ya chini na wanaume ndio mana mapenzi yalikuwa yanaanza kwenye uchumba hadi ndoa tuwape maua yao wanawake wa sasa hawataki kabisa hiyo kitu mwanaume wa kuanza nae maisha pamoja
siku hizi wanawake wamezidisha ubinafsi zaidi ata ukimjali kwa matunzo atakuona danga na tena mjinga atakutumia kufanikisha mipango yake binafsi ukikwama huna chako biashara ya mapenzi imekuwa ni biashara ya kitapeli sana
Sisi tutawafanya tambala la dekiNimecheka kaa fala aseee. 🤣🤣🤣🤣
Yani wanaume mmejuwa kuwatukana babu, Baba ZENU
Mbona hata zamani ilikuwa ivo IvoWanawake wa kizazi hiki ni wabinafsi sana,shida ni yako Raha ni ya wote,kwenye shida wanakuacha,akikosa soko akavumilia hakuna rangi utoacha kuona.
Wamekuwa ni wajasiliandoa na Sio wasaidizi,wao wanataka waolewe lakini waishi kama awajaolewa.