Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

Eeh hakuko kama zaman watoto wengi, pole na kuachwa bana.
Naachwaje labda?
Au umenisahau?
Babu yako aliambiwa Niko jamii forum buana, siku aliposhika Uzi mmoja huku nilikutana ICU
Nikaamua nipunzike mpaka akae sawa kisaikolijia, hapa nimerudi kimya kimya, mdogo mdogo
 
Back
Top Bottom