Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

Soko la Mbeya lipo eneo ambalo viongozi wanalitaka na ndicho chanzo cha kutojengwa.
Dah, basi tuna viongozi wa ajabu sana. Wanaona bora miaka kumi ipite hivihivi! Ndiyo maana watu huhusisha kuungua kwa masoko na hujuma.
 
Kuifananisha Mbeya na Dar nacho ni kipaji. Mambo mengine hata kwa akili ya kawaida tu hayaendani.
Nafananisha masoko siyo miji. Mnapenda sana ligi za miji. Nazungumzia soko la Kariakoo lililoungua na soko kuu la mjini Mbeya.
 
mjin kati na mwanjelwa yapo sawa tu huwez fananisha na kariakoo...kariakoo wateja wengi sana daslama population kubwa sana mkuu
Hivi lile jengo lililoungua lilikuwa na wafanyabiashara wa aina gani? Ni bidhaa gani hasa zilikuwa zinauzwa?
 
yan anataka kufananisha mbeya na daslama ?...aisee

mkuu ikifika siku ukaelewa kuna levels na hakuna usawa duniani utapiga hatua...hakuna mkoa wa kufananisha na daslama Tanzania...
Hajajua Daslam ndio Tanzania

Makao makuu yamehamia Dodoma lakini kila siku tunagongana na vigogo mitaa ya Dar...
 
Hivi lile jengo lililoungua lilikuwa na wafanyabiashara wa aina gani? Ni bidhaa gani hasa zilikuwa zinauzwa?
kila kitu unachojua wewe kiauzwa mule mfano, unaona pembejeo zote hapa tanzania pale ndio soko kuu, yan iko hivi wewe pale unapaona padogo lakini wafanya biashara wa pale wanatumia kama diplay shops..yan wana migodown yao maeneo ya kariakoo yana mizigo hatari...nasema hivi sababu nna ndugu ameunguliwa duka kkoo na wwkati sina mchongo nlikuwa nashinda shop kwake...mkuu kuna hela pale acha kabisa
 
watu huwa hawataki kukubali, wiki tatu zilizopita nlikuwa dodoma, dodoma bado sanaaa, ndio maana hata sasaivi mama samia yupo dar
Mmekwisha elezwa kuwa dar ni Jiji la biashara tz hakuna wa kushinda nalo mapato makubwa ya Kodi ni daslam
 
Back
Top Bottom