Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #21
Dah, basi tuna viongozi wa ajabu sana. Wanaona bora miaka kumi ipite hivihivi! Ndiyo maana watu huhusisha kuungua kwa masoko na hujuma.Soko la Mbeya lipo eneo ambalo viongozi wanalitaka na ndicho chanzo cha kutojengwa.