Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Soko la uhindini liliungua kitambo sana mpaka Leo halijajengwa, zaid wanapaki magari tuHatuzungumzii Kariakoo yote. Unaweza ukakuta mapato ya lile jengo lililoungua yalikuwa yanapitwa na soko la uhindini Mbeya.