SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

Unawalinda vipi wateja wako kuuziwa bidhaa za wizi, na baadaye kujikuta wako matatizoni?

Nauliza kwa nia njema kabisa. Nina mpango wa kukuungisha TV siku za usoni.
 
Unawalinda vipi wateja wako kuuziwa bidhaa za wizi, na baadaye kujikuta wako matatizoni?

Nauliza kwa nia njema kabisa. Nina mpango wa kukuungisha TV siku za usoni.
Ok swali zuri, kitu cha kwanza ni kwamba naunganisha mteja na muuzaji, so mimi ndio mtu wa kati, hivyo mteja wangu anaenunua asiwe na wasiwasi sababu chochote ninachokiuza nakihakiki mwenyewe kwamba ni legit, ikiwa mnunuzi itamletea shida basi mnunuzi atanirefer na nitahudika. Thats why wanaonifata niuze bidhaa zao, wengi bidhaa zinakua majumbani mwao, au sehemu zao za kazi. So usijari mkuu mimi nipo on behalf ya mnunuzi.
 
Vp tunaruhusiwa kutangaza biashara zetu katika uzi wako??
 
Haya kabati hilo
Mbao ngumu na smooth from Orcadeco (lina 4 month)
Price : 480,000
Contact: 0752329591
 
Karibuni karibuni, leteni vitu used mnavotaka kuuza hata kwa dharula, njooni pia mnunue vilivyopo😊, karivuni sana, niwatakie siku njema.
 
Hizi bei zenu zinanikanganya mimi mkenya. Hela ndefu sana hizo! 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…