90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 421
- 502
- Thread starter
-
- #161
Good advise, basi nitawatangazia hili mkuu, Asante.Nashauri usiruhusu mtu kutangaza biashara yeye mwenyewe....
Badala yake mtu atangaze kupitia kwako lasivyo watavamia matapeli humu na picha za bidhaa za kuokota mitandaoni watu wapigwe humu uzi wako uharibike
bado ipo hii?Hisense Sound Bar
Imetumika miezi miwili tu.
Ina receipt na ina box lake.
Price:360,000 Fixed
Contact: 0752329591View attachment 2555500
Ishauzwa, ila nina nyingine bossbado ipo hii?
Sasa tutawajua watu na majina yao halisiAsante,Ina maana hii shughuli ulishaanza tayari isipokuwa JF tu ndio ilikuwa bado au?maana umesema ulitaka kutusahau.
Hapana, sio rahisi kumjua mtu, hata mimi sio rahisi kujua ni nani kanicontact sababu napigiwa tu simu (mtu anachukua number na kupiga) siwezi jua huyu ni nani huko Jf, so usiwe na wasiwasi mkuu.Sasa tutawajua watu na majina yao halisi
Haya wale tunaotqka sofa za kisasa.
Sofaset za kisasa kabisa
watu 6
Pure leather and soft material
Price: 400,000
Contact: 0752329591
Location: Gongo la mboto.
View attachment 2554406View attachment 2554408