900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
KUSIMAMA SIYO TATIZO TATIZO NI KWAMBA NANI ALIKUWA NA RATIBA YA HAPO,JE KULIKUWA NA MGOMBEA YEYOTE WA RATIBA YA HAPOHapa CDM wamesimama kimakosa wamekuwa na ratiba ndefu Leo wanasimama sehemu amapo hakukuwa na ratiba
ishu sio ratiba huu ni msimu wa kampeni pale panapoonekana pana fursa ya kuomba kura kama mgombea ana haki ya kuzungumza na wapiga kura kuwaomba wamchague. suala la ratiba ni utaratibu tu ili kuzuia wagombea kuingiliana sasa kama palikuwa hakuna mgombea mwingine ana kampeni hapo somanga sizani kama ilikuwa kuna tatizo yeye kuwa hapo kuomba kampeni.Mambo mengine ni busara tu kutumika ilikuwa haina haja ya kuzuia mkutanoHapa CDM wamesimama kimakosa wamekuwa na ratiba ndefu Leo wanasimama sehemu amapo hakukuwa na ratiba
Kuna mkutano mwingine hapo?Hapa CDM wamesimama kimakosa wamekuwa na ratiba ndefu Leo wanasimama sehemu amapo hakukuwa na ratiba
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rai
Lissu si wa mchezo kaisha watoa watu woga,Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
Inawezekana yalilipuka kwa bahati mbaya sababu ya joto na kelele.Sababu ya mabomu nini wakati nchi kwenye kampeni?
Wewe acha mikwara mbuzi, mimi peke yangu ntakuja kukudhibiti na kukata masikio hayoTupo kwenye utawala wa kipumbavu sana
Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.
Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Kikwete rais dhaifu ama siyo?Ubinafsi wa Kikwete, tamaa ya Lowasa na Membe ndo vimetufikisha hapa!
Kupita kiasiTupo kwenye utawala wa kipumbavu sana
Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.
Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Kwahiyo mpo barabarani mmekinukisha?Lissu si wa mchezo kaisha watoa watu woga,
Ni jambo jema kuzingatia ratiba!
Petrol zina wahusu hiyo sikuKatika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
Hapo nilitegemea watamzunguka kumkinga! Matokeo yake, karibia wooote wakamkimbia, na kumwacha na msaidizi mmoja jasiri.Wanapima upepo wa nguvu ya uma