Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

Ajabu pamoja nakupigwa mabomu lakn wanaonekana lisu na police wanakutana wanacheka pamoja.. Hiv ndiv itavyokuwa siku ya uchaguz,, wanaoumia niwengne na wengne wanakutana wanagonga chearz!!
..polisi alikuwa anafurahia kuvuruga mkutano wa TL.

..na alikuwa anamcheka TL kwa hujuma aliyomfanyia.

..sasa hapo ndipo utakapojua kuwa Polisi wetu wamepungukiwa utu.
 
Tundu Lissu anawatisha kama Ukoma. Nilijua watamgusa Lissu. Wamelegea.
 
We can't vote for corpses Ccm again
 
Utawala uliofitinika endeleeni kutukazia kura,na kuamsha molali wa kuwamwaga viziri kesho kutwa tumalizane na utawala wa mabavu usiozingatia uhuru wala haki za raia wake.
Swadakta!
 
Utawala uliofitinika endeleeni kutukazia kura,na kuamsha molali wa kuwamwaga viziri kesho kutwa tumalizane na utawala wa mabavu usiozingatia uhuru wala haki za raia wake.
MABEBERU wanatuangalia tu tunavyonyimana haki! Wanathibitisha kilio cha Wapinzani kutokutendewa haki!
 
Kwahiyo mpo barabarani mmekinukisha?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Kama kitu kidogo tu Basi barabarani watu ,itakua Sasa ni utani, hata hivyo binafsi sipendi sikia watu wmeingia barabarani na mungu hatuepushe ,ila Sasa fanyeni mchezo mtaona ,leo so unaona mabom yanapigwa watu hawaendi zaidi ya meter Mia wakati zamani bom moja watu wako km 200, leo yamepigwa mangapi? Watu wapo tu na bado wamemsindikiza ,
 
Vipi yule msela wa kidumu cha petroli hajaenda kulipiza
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Kwa jinsi walivyoondoka hapo unaona kuna wakuchoma kituo hapo?
 
Hawa masisiyemu hakika yatahukumiwa na Mungu tu
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Utajaribu uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…