Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Duh aisee!Eti ooh!
~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nimalize chuo; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipo chooni nakunya; nikitoka tutafunga ndoa".
kwamba unaamua uishi na mwanaume ukitimiza yote ya ndoa ila uko na mpango mwingine?Mmh! Inategemea kwanini uko katika hayo mahusiano, kama ni kwa ajili ya ndoa, basi hakikisha ushauri wa mtoa mada unauzingatia haswa.. Ila kama ni kwa kwasababu zingine usiogope Kikubwa unajua unachokofanya
Mmoja tu zaidi ya hapo anakupotezea muda.Miaka 5 mbona ni mingi, mwaka 1 tu inatosha ikiwa hauna namna.
Kabisa, Kila mtu anasababu zake. Sio wanaume tu ndio wakuogopa vifungo visivyo vya lazima. Kikubwa ubongo na moyo vifanyekazi kwa kujitegemea katika majukumu yake.kwamba unaamua uishi na mwanaume ukitimiza yote ya ndoa ila uko na mpango mwingine?
Hivi mtu ambae umeshasubiri miaka yote hiyo, na kuzalishwa watoto wote hao, hata ukisema unaondoka, unaenda wapi hasa..? Kuna muda ukishakaa na mtu, huyo anakua wakwako hakuna pa kwenda tena, kuwe na ndoa kusiwe na ndoa.Kila mwaka unasubiri. Mwaka wa kwanza, mwaka wa pili, mwaka wa tatu, mwaka wa nne, mwaka wa tano, mwaka wa sita bado unasubiri huku unazalishwa. Mwaka wa saba, nane, tisa, kumi bado unamsubiri mwanaume ajipange, ajipange nini?
Ni hatari sana kuwa kwenye mahusiano tu eti kisa huna pa kwenda ukiachwa maana umezalishwa, au kutegemea kuja kugawana mali mkiachana sijui.. Kuna ujinga mwingi hapo hata kufurahia maisha inakuwa kwa mbinde. Kama mahusiano yakibiashara yanaweza kuvunjika na Kila mmoja akaendelea kivyake kwanini isiwe mahusiano haya?!!!Samahani mkuu....
Unasemea wanawake hawa ambao wakiamka asubuhi wanawasha data badala ya kiwasha moto...🤔
hiyo michache mbona, kuna dada amezaa watoto watatu na mwanaume na anaishi naye lakini mwanaume hafahamiki kwa wazazi wa mwanamkeMiaka 5 unaishi vipi na mwanaume bila kutambulika rasmi na kufuata taratibu?
Ni miezi 6 nadhani to be corrected..Kwani c wanasemaga ukiishi na mwanamke miezi mitatu bila ndoa tayari ni mke wako... Au mimi ndo sijaelewa
Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka.
Eti ooh!
~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nimalize chuo; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipo chooni nakunya; nikitoka tutafunga ndoa".
Kila mwaka unasubiri. Mwaka wa kwanza, mwaka wa pili, mwaka wa tatu, mwaka wa nne, mwaka wa tano, mwaka wa sita bado unasubiri huku unazalishwa. Mwaka wa saba, nane, tisa, kumi bado unamsubiri mwanaume ajipange, ajipange nini?
Unasubiri mpaka sura inaanza kukunjama (kusinyaa) ndipo unagundua kuwa mwanaume unayemsubiri ajipange tayari amefunga ndoa ya Kikristo na mwanamke mwingine aliyezaa nae mtoto mmoja. Na wewe ameshakuzalisha watoto watatu.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Waambie haoKwa hiyo mnatusema "sisi" wenye uchumba sugu?Lakini, mkumbuke tuna watoto watatu,nyumba mbili,kipando(kinafanana na gari)kimoja na shamba hekari nne achilia mbali kipato cha kula milo kamili mitatu kila siku na uhakika wa tiba.