Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka.
Eti ooh!
~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nimalize chuo; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipo chooni nakunya; nikitoka tutafunga ndoa".
Kila mwaka unasubiri. Mwaka wa kwanza, mwaka wa pili, mwaka wa tatu, mwaka wa nne, mwaka wa tano, mwaka wa sita bado unasubiri huku unazalishwa. Mwaka wa saba, nane, tisa, kumi bado unamsubiri mwanaume ajipange, ajipange nini?
Unasubiri mpaka sura inaanza kukunjama (kusinyaa) ndipo unagundua kuwa mwanaume unayemsubiri ajipange tayari amefunga ndoa ya Kikristo na mwanamke mwingine aliyezaa nae mtoto mmoja. Na wewe ameshakuzalisha watoto watatu.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Binti unaishi na Mwanaume nakuona!Ni hatari sana kuwa kwenye mahusiano tu eti kisa huna pa kwenda ukiachwa maana umezalishwa, au kutegemea kuja kugawana mali mkiachana sijui.. Kuna ujinga mwingi hapo hata kufurahia maisha inakuwa kwa mbinde. Kama mahusiano yakibiashara yanaweza kuvunjika na Kila mmoja akaendelea kivyake kwanini isiwe mahusiano haya?!!!
Umeniwahi. Mimi ni mwanaume hivyo pengine niko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kutoa ushauri sahihi. Miaka mitano mbona ni mingi sana sana? Japo mwanzisha thread hajafafanua ni kuishi kwa namna gani i.e. wanaishi nyumba moja kama wameshaoana au ni yale maisha ya uchumba! Vyovyote vile miaka mitano ni mingi na inaonyesha kabisa kuna kitu kinafanya mwanaume akwepe.Miaka 5 mbona ni mingi, mwaka 1 tu inatosha ikiwa hauna namna.
Hivi kufunga ndoa maana yake ni nini?Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka.
Eti ooh!
~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nimalize chuo; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipo chooni nakunya; nikitoka tutafunga ndoa".
Kila mwaka unasubiri. Mwaka wa kwanza, mwaka wa pili, mwaka wa tatu, mwaka wa nne, mwaka wa tano, mwaka wa sita bado unasubiri huku unazalishwa. Mwaka wa saba, nane, tisa, kumi bado unamsubiri mwanaume ajipange, ajipange nini?
Unasubiri mpaka sura inaanza kukunjama (kusinyaa) ndipo unagundua kuwa mwanaume unayemsubiri ajipange tayari amefunga ndoa ya Kikristo na mwanamke mwingine aliyezaa nae mtoto mmoja. Na wewe ameshakuzalisha watoto watatu.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Kwani akifunga hiyo ndoa hawezi kutimuliwa?Hawasikiagi wako kama kenge mpaka damu ziwatoke, anashangaa siku ya siku anatimuliwa na amezalishwa anaanza kuwalaani wanaume wote dunia nzima kumbe ni upumbavu wake, wengine wanaingia kichwa kichwa mwanaume hafahamiki hata kwao wala hajatoa hata kishika uchumba halafu utasikia anakuwa mkali utasikia "wewe unatembea na mume wangu" siku anapigwa chini akili ndo zinamrudi.
Na wanakuwaga wabishi hao hawataki kusikia ushauri wanajifanya wao ndo wanajua kupenda
Kwani ndoa ni nini?Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka.
Eti ooh!
~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nimalize chuo; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipo chooni nakunya; nikitoka tutafunga ndoa".
Kila mwaka unasubiri. Mwaka wa kwanza, mwaka wa pili, mwaka wa tatu, mwaka wa nne, mwaka wa tano, mwaka wa sita bado unasubiri huku unazalishwa. Mwaka wa saba, nane, tisa, kumi bado unamsubiri mwanaume ajipange, ajipange nini?
Unasubiri mpaka sura inaanza kukunjama (kusinyaa) ndipo unagundua kuwa mwanaume unayemsubiri ajipange tayari amefunga ndoa ya Kikristo na mwanamke mwingine aliyezaa nae mtoto mmoja. Na wewe ameshakuzalisha watoto watatu.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Kwani ukifunga ndoa huwezi timuliwa?Hawasikiagi wako kama kenge mpaka damu ziwatoke, anashangaa siku ya siku anatimuliwa na amezalishwa anaanza kuwalaani wanaume wote dunia nzima kumbe ni upumbavu wake, wengine wanaingia kichwa kichwa mwanaume hafahamiki hata kwao wala hajatoa hata kishika uchumba halafu utasikia anakuwa mkali utasikia "wewe unatembea na mume wangu" siku anapigwa chini akili ndo zinamrudi.
Na wanakuwaga wabishi hao hawataki kusikia ushauri wanajifanya wao ndo wanajua kupenda
Watu gani wanasema?Kwani c wanasemaga ukiishi na mwanamke miezi mitatu bila ndoa tayari ni mke wako... Au mimi ndo sijaelewa
Eeh!!🤣🤣~ "Subiri nipo chooni nakunya; nikitoka tutafunga ndoa".
Miaka 5!?. Yote hiyo ya nini!?. Usikubali kuishi nae hata siku Moja bila ndoa.Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka.
Eti ooh!
~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nimalize chuo; kisha tutafunga ndoa".
~ "Subiri nipo chooni nakunya; nikitoka tutafunga ndoa".
Kila mwaka unasubiri. Mwaka wa kwanza, mwaka wa pili, mwaka wa tatu, mwaka wa nne, mwaka wa tano, mwaka wa sita bado unasubiri huku unazalishwa. Mwaka wa saba, nane, tisa, kumi bado unamsubiri mwanaume ajipange, ajipange nini?
Unasubiri mpaka sura inaanza kukunjama (kusinyaa) ndipo unagundua kuwa mwanaume unayemsubiri ajipange tayari amefunga ndoa ya Kikristo na mwanamke mwingine aliyezaa nae mtoto mmoja. Na wewe ameshakuzalisha watoto watatu.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Wapo pia wanawake wa hivyo,eti jenga kwanza ndio unioeAcha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka.