Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

Noma kweli !
 
Mkuu haya ni masuala mazito ya nchi, sio ishu personal kati ya Ndalichako na Magufuli
 
Nyumbu wa Serengeti kwa kufuata mkumbo wako vyema, hata kama ni kuliwa na mamba wao sawa tu alimradi fuata mkumbo
Nyumbu yupo futi sita chini ya ardhi anashughulikiwa na funza,
Wafuasi wake ndio mmebaki kukialia. Hakuna mtaala wa somo jipya unaoandaliwa kipumbavu vile.
Huyu mpumbavu alikuwa anaharibu nchi ndio maana wenye akili wakaliua, shenzi lile
 
Watu hawapingi Historia ya nchi kufundishwa, hata mimi napenda sana . Tatizo ni ule mchakato ulivyofanywa,
 
Jiwe alikuwa anajenga Msingi kwa kutumia ma Boya
Hauwezi kuwa sustainable asilani
 

Kafundisheni huo Mtaala shule za Chato, huko ndio watu wana muda wa kuabudu binadamu.
 
Hakuna kuboresha hilo wazo lishakufa baada ya mwendazake kufa, inshort lilikuwa wazo la kijinga.
 
Naona heading inarembwa kwa namna itakayoonekana inafaa hahahaha Kama marehemu wangepewa vinywa na uwezo wa kuona sijui ingekuwaje
 
Vijana wa kijiweni hawajui thamani ya historia. Yawezekana wanaopinga mtaala wa historia ya Taifa hawajui chimbuko la familia zao na tamaduni. Upumbafu na Ulofa

Kamfundishe mtoto wako hizo historia za taifa lako. Acha sisi wakwetu wasome English medium. Huko hakuna kusifia mwenge.
 
Mstari wa mwisho ndo jibu sahihi.
 
Chomeni moto kabisa makabrasha ya huo ujinga, dunia ya sayansi,ufundi na teknolojia hii uelekeo uwe huko mwendzake mibange ilimfanya aanzishe maujinga kilasiku bila utafiti wala kushirikisha wadau
 
Alitaka historia ya Tanzania ibadilike imwandike yeye. Hivi Yule mzee alikuwa na akilinkweli?
 
Huyo mama ni profesa lakini Hana akili kabisa.

Ni Prof wa kukariri tu madesa.

Hamna kitu kichwani.
 
imagine unafundishwa historia ya mkwawa kiingereza[emoji16][emoji16],sijui ukasimulie wazungu ama!!!

wakati mwingine kuna watu wanayapa matako kazi ya kichwa,mmoja wapo mleta mada.na anacheka cheka tu.
Wewe unafikiri kutumia Nini mkuu isije ikawa ni Kinyume Cha Ulichoandika hapo....Tatizo lipo kwenye Maudhui ya Hiyo Histori au Lugha ya kufundishia!?
 
imagine unafundishwa historia ya mkwawa kiingereza[emoji16][emoji16],sijui ukasimulie wazungu ama!!!

wakati mwingine kuna watu wanayapa matako kazi ya kichwa,mmoja wapo mleta mada.na anacheka cheka tu.
Mkuu, unajuwa kwamba Wazungu (wajerumani,to be more specific) wanaijua Historia ya Mkwawa vizuri na walimsifu sana kwamba aliweza ku organise jeshi lake vizuri na alikuwa vizuri kwenye military tactics hasa pale kwenye battle of lugalo ?
Au umeandika tu hapa ki utani ?.ila isome vizuri Historia ya Mkwawa inaonesha wazi hujui mengi kumuhusu hasa uwezo wake. Nenda huko mitandaoni usome taarifa za wakoloni walizotuma kwao huko.kwa kifupi tu nimekusaidia kukupa mwanga kuhusu mkwawa maana naona unamu attack mwenzako bure.hivo basi kufundisha Historia ya Mkwawa kwa kiingereza sio kosa
Mwisho nahitimisha kwa kusema kwamba, Historua inasema kwamba Mkwawa na mwenzie Shaka wa zulu walikuwa vizuri sana kwenye Military tacts ndio maana waliweza kufanya mashambulizi mazito mno.mfano mkwawa aliwachakaza wajerumani mno ambao walikuwa na silaha za kisasa (kwa wakati ule) huku yeye akiwa na askari wenye silaha chache za kisasa
 
Kafundisheni huo Mtaala shule za Chato, huko ndio watu wana muda wa kuabudu binadamu.
Mnamo mwaka 2015 inchi ilipata Rais mzalendo, alihamishia Ikulu Dodoma njia panda ya Chato, alununua ndege sita hakuna Rais mwingine ila yeye shuja wa Africa.

ilipifika 2020 alianza kuongea kwa hasira kuhusu ka koona, alizindua miradi mikubwa kitovuni, ..................


Endelea nawewe kutengeneza mtaala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…