Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

... zaidi ya 70% ya mawaziri ni walewale alioacha mwendazake! What can be concluded? Walikuwa "wanamchora tu".
Ukiwa kiongozi ukubali kushaurika, baada ya ushauri ndiyo ufanye maamuzi. JPM alijitengenezea ukuta uliomzunguka ambao ushauri ilikuwa ngumu kuupenya. Ukuta huo ulijengwa na kauli kama "mimi najiamini", " ukija kufanya lobbying kwangu ndiyo umeharibu kabisa",. Viongozi wastaafu walivyojaribu kumshauri akasema wanawashwawashwa. Katika mazingira haya ni dhahiri kuwa viongozi walitakiwa kupokea na kutekeleza " maelekezo" na si vinginevyo.

Enzi za Mwalimu Nyerere aliwahi kumteua Chediel Mgonja kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara huku akiwa anatumikia adhabu ya mahakama ya kuvuliwa ubunge. Mwanasheria Mkuu alienda kwa Mwalimu na kumweleza kuwa amekosea, lakini ingawa kwa shingo upande Mwalimu alitengua uteuzi ule pamoja na kwamba alimpenda sana Mgonja.
A leader who is not accessible to alternative ideas will end up making wrong decisions.
 
hoja hapa kwanini tujifunze historia yetu wenyewe kwa lugha ya kigeni.sijui hata unaelewa!!!

ni ujinga kujisifu unamjua mkwawa vizuri wakati kika mtu amemsoma shuleni.
 
Kwa kweli sikuona sababu ya kubadilisha mtaala kwenye histpria tusubiri kwanza
 
Wewe unafikiri kutumia Nini mkuu isije ikawa ni Kinyume Cha Ulichoandika hapo....Tatizo lipo kwenye Maudhui ya Hiyo Histori au Lugha ya kufundishia!?
shida iloyopo ni kwamba mwendazake alikuwa na maono makubwa kuliko uwezo wa viongozi wake waandamizi na watz wengi anaowaongoza.

swala la lugha ya kiswahili moja ya lugha kuu ya mawasiliano africa haliji kama ajali,maandalizi yake ndio yale.kwa sasa kiingereza kilipofikia sio lugha ya kusomea tena,ni ya kujifunza hata kama hujaenda shule kukutana na huyo mkwawa.
 
Lengo la Magufuli alitaka aingizwe kwenye mtaala wa somo la historia na wala siyo suala la lugha! Hivi historia ya Mkwawa ikifundishwa kwa kiingereza inakuwa tofauti na ikifundishwa kwa kiswahili?
mbona tayari yupo kwenye historia!!!

au unadhani historia ni kukaa kwenye kitabu cha kiingereza??
 
Kama huko aliko Magu anayona haya yanayoendelea hasa kugeukwa hasa katika utawala wa aliyekuwa makamo wake,basi atakufa tena kwa msongo wa mawazo
Kama kuna kufa mara mbili, life tu!
 
Kujifunza na kufundisha vijana wetu na kizazi kijacho historia ya nchi yetu ni maagizo ya kipumbaavu? Mpumbavu ni wewe uliyepofuliwa na chuki mpaka hutambui jema na la manufaa kwako na kizazi chako ni nini!
Ni wapi wewe hujasoma historia ya nchi yako? Mbona historia iko vizuri tu? Itoshe kusema, marehemu alikuwa mpambavuuu!
 
Kama huko aliko Magu anayona haya yanayoendelea hasa kugeukwa hasa katika utawala wa aliyekuwa makamo wake,basi atakufa tena kwa msongo wa mawazo
Siti ya daladala huwa haina mwenyewe.
 
Ukiona mawazo yako yanatupiliwa mbali jua ni ya kijinga hayana tija kwa Jamii husika
 
Yule dingi angekaa tena mitano waliyokuwa wanasema. Angekoroga vitu vingi zaidi.
 
Ni upumbavu tuu kuwaza kufundisha Historia kwa kiswahili kuwa utafanikisha jambo lolote la maana wakati somo la kiswahili wanafunzi wanafeli vibaya . Kama hujui English kama mwenda kuzimu utaunga mkono ujinga wake.
Wasenge wengi sana humu.
Huwa unasoma unachoandika mbwiga wewe?
 
Kwa hili la masomo kufundishwa kiswahili ningeshauri serikalini iliangalie kwa jicho la tatu. Hasa hasa Yale masomo ambayo ni muhimu wanafunzi kuelewa kwa undani ili wawe na ubunifu zaidi na kujitengenezea ajira.

Inawezekana tunapoteza vijana wengi njiani kwa sababu ya hiyo lugha ya kingereza. Wengi huko madarasani hawaelewi. Hata akifeli anashindwa kutumia hata kile kidogo alichopata kujiendeleza.

Wizara ifanye utafiti ni kwa Nini vijana wanamaliza shule wanakimbilia umachinga na bodaboda ili kujua kuna tatizo gani?

Serikali wawe wakali kwa wizara ambazi zinatakiwa zitoe ajira Kama kilimo, ufundi, viwanda biashara, madini n.k. Hizi wizara zinatakiwa zionekane huko mitaani sio kukaa maofisini tu.

Kila wizara inatakiwa itoe taarifa kila mkoa imetengeneza na imesaidia vijana wangapi. Mkuu wa Mkoa hawezi kutatua hili tatizo lakini akisaidiana na wizara kutaweza kuwapata wale vijana wanao wanatangatanga Mara umachinga na bodaboda.

Ndarichako akawaombe radhi wale vijana aliowafukuza vyuoni kwa ajili ya alama. Yeye Kama mama angetafuta mbinu ya kuwasaidia Kama kurudia mitihani. Huyu mama nilikuwa namwamini sana ni mchapakazi lakini kanitoka roho Kama matapishi.
 
Kwa hili la masomo kufundishwa kiswahili ningeshauri serikalini iliangalie kwa jicho la tatu. Hasa hasa Yale masomo ambayo ni muhimu wanafunzi kuelewa kwa undani ili wawe na ubunifu zaidi na kujitengenezea ajira.

Inawezekana tunapoteza vijana wengi njiani kwa sababu ya hiyo lugha ya kingereza. Wengi huko madarasani hawaelewi. Hata akifeli anashindwa kutumia hata kile kidogo alichopata kujiendeleza.

Wizara ifanye utafiti ni kwa Nini vijana wanamaliza shule wanakimbilia umachinga na bodaboda ili kujua kuna tatizo gani?

Serikali wawe wakali kwa wizara ambazi zinatakiwa zitoe ajira Kama kilimo, ufundi, viwanda biashara, madini n.k. Hizi wizara zinatakiwa zionekane huko mitaani sio kukaa maofisini tu.

Kila wizara inatakiwa itoe taarifa kila mkoa imetengeneza na imesaidia vijana wangapi. Mkuu wa Mkoa hawezi kutatua hili tatizo lakini akisaidiana na wizara kutaweza kuwapata wale vijana wanao wanatangatanga Mara umachinga na bodaboda.

Ndarichako akawaombe radhi wale vijana aliowafukuza vyuoni kwa ajili ya alama. Yeye Kama mama angetafuta mbinu ya kuwasaidia Kama kurudia mitihani. Huyu mama nilikuwa namwamini sana ni mchapakazilakini kanitoka roho Kama matapishi.
 
Vijana wa kijiweni hawajui thamani ya historia. Yawezekana wanaopinga mtaala wa historia ya Taifa hawajui chimbuko la familia zao na tamaduni. Upumbafu na Ulofa
Wafundishe wanao
 
Ilimlenga yeye
 
Hivi wewe unaona enzi zile watu walikua na akili?
 
Alitaka jina lake liingizwe kwenye mtaala mpya tapeli yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…