Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Nasikia pia vinatoa kitambi ni kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajua siku hizi kuna zile dawa zinatangazwa inatibu kila kitu, naziogopa sana. Najiuliza dawa moja inatoa sumu, inapunguza mafuta, inaongeza hamu ya kula, inaweka sawa mfumo wote wa mwili, inatibu kisukari, shinikizo la damu, inaongeza nguvu na hamu kwa wanandoa, inaondoa VITAMBI...orodha ni ndefu
 
Kwahiyo huiamini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni upotoshaji wa matangazo.. Lakini vyakula na mimea vina tiba ya magonjwa mengi sana....
Unajua siku hizi kuna zile dawa zinatangazwa inatibu kila kitu, naziogopa sana. Najiuliza dawa moja inatoa sumu, inapunguza mafuta, inaongeza hamu ya kula, inaweka sawa mfumo wote wa mwili, inatibu kisukari, shinikizo la damu, inaongeza nguvu na hamu kwa wanandoa, inaondoa VITAMBI...orodha ni ndefu

Jr[emoji769]
 
Kaka Mshana Jr hii post ina mzuka sana,yaani nimesoma mwanzo mpaka hapa na bado nasubiria michango mingine. Big up bro
 
Sina shaka na wewe uko sahihi kabisa!! Je ungependa kunyakuliwa siku ya mwisho,
 
[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1545][emoji1545][emoji1545] Asante sana kama imekuwa ua msaada kwako
 
Sina shaka na wewe uko sahihi kabisa!! Je ungependa kunyakuliwa siku ya mwisho,
Siku ya ufufuko wa wote.. Natamani kila mmoja jina lake liwepo kwenye kitabu cha uzima
 
usitamani hivo.kuna ma agent wa shetani.nephilim.mpaka leo wamo humu.

Yaani waliumbwa na shetani mwenyewe ili kuleta shida Duniani.maarufu km
Synegougue of satan.walikuwepo. Wapo lkn hawatakuwepo
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
4c1a081d409811d2c1521fea35ba1a1a.jpg

huwa tunakutana na shida kama hizi kusumbuliwa na wanga na wachawi nyakati za usiku na hata makazini, hii kitunguu saumu ni kinga
Mchawi hana akili ukishajua codes zake.
Nipo hapa nimempaka mtoto homa iligoma kushuka nimempiga vitunguu saumu nimempaka unyayoni,paji la uso,kifuani,mgongoni, kichwani kutimiza pande 7 Ili kuleta ukamilivu.
Naona Mungu you mwema.
Wapumbavu Sana hawa viumbe watoto wadogo ni malighafi yenye thamani sana kwao.
 
Shida ni upotoshaji wa matangazo.. Lakini vyakula na mimea vina tiba ya magonjwa mengi sana....

Jr[emoji769]
Katika mimea ipo nguvu za uponyaji wa kiroho na kimwili.Kivumbasi ni kiboko ya nguvu za giza.
 
Back
Top Bottom