KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Anaitwa saidaMama Hakim anaitwa Saida au Fatma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa saidaMama Hakim anaitwa Saida au Fatma?
Kwa kweli mpaka akili ziwakae sawa in simba's voiceHii mambo haijaisha bado ndio kwanza inaanza
Mama kasema "Kunatatizo Gani ikiwa ni kweli?" Elewa imeisha hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]"Mwanangu hakuniambia kuhusu uhamisho wa pesa" - Mama wa Hakimi afichua
Kujibu uvumi kwamba utajiri wa mwanawe umehamishiwa kwenye jina lake, mama wa Achraf Hakimi, Saida Mouh, amesema hakuwa na habari ya uhamisho kama huo lakini amesisitiza kwamba ikiwa mwanawe hajafanya hivyo, hataweza kuachana na Hiba Abouk.
Mouh aliiambia vyombo vya habari vya Morocco kwamba Hakimi hakuwa amemweleza chochote kuhusu hali hiyo, na kwamba "ikiwa amechukua hatua yoyote ya kujilinda, sina habari nayo."
Mama wa Hakimi aliendelea kusema, "Kuna tatizo gani ikiwa habari ni kweli? Ikiwa mwanangu hafanyi hivyo, hataweza kuachana na mwanamke huyo [Hiba Abouk]."
Kulingana na ripoti za hivi karibuni, Abouk hatapata chochote kutoka kwa utajiri na mali ya Hakimi kwa sababu kila kitu kimeripotiwa kwenye jina la mama wa mchezaji huyo wa soka kutoka Morocco.
Makala ya habari ya Kihispania Marca iliripoti siku ya Ijumaa, Aprili 14 kwamba Abouk alikuwa akihitaji nusu ya mali na utajiri wa Hakimi lakini aligundua kwamba hana kitu chochote kwa jina lake.
Kulingana na chanzo hicho hicho, mama wa Hakimi amekuwa akipokea mshahara wake kwenye akaunti yake ya benki kwa muda fulani, na yeye ndiye mnufaika pekee wa mapato na utajiri wake.
Haki ya kucheza kimataifa wa Morocco na beki wa kulia wa PSG pamoja na mwigizaji wa Kihispania-Tunisia Hiba Abouk walitalikiana mwezi uliopita.
Hakimi ni mmoja wa wachezaji ghali zaidi barani Afrika na anachukuliwa kama mmoja wa mabeki bora wa kulia duniani. Mnamo mwaka 2022, Kituo cha Kimataifa cha Masomo ya Michezo (CIES) kilimtaja mchezaji huyo kutoka Morocco kwenye orodha yake ya wachezaji 100 ghali zaidi kwa thamani yake ya uhamisho iliyokadiriwa.
Data iliyochapishwa mnamo 2022 na tovuti ya habari za soka ya GiveMeSport ilionyesha kwamba beki wa kulia wa PSG ni mchezaji wa soka wa Afrika anayelipwa vizuri zaidi wa sita, akipata zaidi ya dola za Marekani 215,000 kwa wiki.
Sasa mkuu maana ya umiliki lazima signature iwekwe sasa mama alikuwa ana sign nini yeye akijua?.🤣Mama hakimi hakujua kuwa mwanae kaweka majina ya mamaake kwenye assets zake hakimi hakuamwambia mkuuu
Ala, kumbe!Mama hakimi hakujua kuwa mwanae kaweka majina ya mamaake kwenye assets zake hakimi hakuamwambia mkuuu
Field Marshall. Hivi Ndikumana alitoga talaka kwa Dada la Dada?Dunia haitomsahau Gabriel Villa, mwanasheria kwa taaluma aliyefanya pia kazi ya uwakala wa usafirishaji.
Bwana huyu mwaka 1994 alikutana na mwanadada mrembo Christina Carta kwenye sherehe
Wawili hawa wakapendana na hatimaye kufunga ndoa licha ya kuwa Gabriel alimzidi mrembo huyo miaka 30.
Tajiri huyo mara tu baada ya kufunga ndoa alimpeleka mkewe nchini Jamhuri ya Dominica kwenye visiwa vya nchi hiyo kula maisha kwa miezi minne.
Na waliporudi waliishi pamoja kwenye ndoa ya furaha kubwa kwa miaka 20.
Baada ya miaka hiyo ishirini ya kuishi pamoja hatimaye wawili hawa waligombana na Mwanamke akaenda kudai talaka kisheria ili wagawane mali.
Lakini baada ya kufuatilia taratibu hizo za kisheria, Wanasheria wa Mwanamke huyo walimjulisha kuwa bwana Gabriel alimtaliki mke wake huyo miaka 20 iliyopita bila yeye kujua hivyo kwa miaka yote hiyo hawakuwa wanaishi kwenye ndoa.
Kumbe bwana, ile fungate bwana Gabriel aliyompeleka mkewe nchini Jamhuri ya Dominican alitumia pia mwanya huo kuandikisha talaka kabisa kwa mkewe bila mwenyewe kujua kwani kwa wakati huo ni nchi ya Jamhuri ya Dominican pekee ndiyo iliyokuwa inaruhusu kisheria talaka kutolewa bila mmoja wapo kujua.
Mwamba huyu alipoulizwa alisema alijua kuwa siku moja Mwanamke huyo angetumia mbinu ya kudai talaka ili kuchukua mali zake hivyo alijiandaa mapema😀
NDUGU YETU HUYU ANAPASWA KUPEWA CHEO GANI😀😅?
👇👇👇
Huyu mwamba ni legend ,Dunia haitomsahau Gabriel Villa, mwanasheria kwa taaluma aliyefanya pia kazi ya uwakala wa usafirishaji.
Bwana huyu mwaka 1994 alikutana na mwanadada mrembo Christina Carta kwenye sherehe
Wawili hawa wakapendana na hatimaye kufunga ndoa licha ya kuwa Gabriel alimzidi mrembo huyo miaka 30.
Tajiri huyo mara tu baada ya kufunga ndoa alimpeleka mkewe nchini Jamhuri ya Dominica kwenye visiwa vya nchi hiyo kula maisha kwa miezi minne.
Na waliporudi waliishi pamoja kwenye ndoa ya furaha kubwa kwa miaka 20.
Baada ya miaka hiyo ishirini ya kuishi pamoja hatimaye wawili hawa waligombana na Mwanamke akaenda kudai talaka kisheria ili wagawane mali.
Lakini baada ya kufuatilia taratibu hizo za kisheria, Wanasheria wa Mwanamke huyo walimjulisha kuwa bwana Gabriel alimtaliki mke wake huyo miaka 20 iliyopita bila yeye kujua hivyo kwa miaka yote hiyo hawakuwa wanaishi kwenye ndoa.
Kumbe bwana, ile fungate bwana Gabriel aliyompeleka mkewe nchini Jamhuri ya Dominican alitumia pia mwanya huo kuandikisha talaka kabisa kwa mkewe bila mwenyewe kujua kwani kwa wakati huo ni nchi ya Jamhuri ya Dominican pekee ndiyo iliyokuwa inaruhusu kisheria talaka kutolewa bila mmoja wapo kujua.
Mwamba huyu alipoulizwa alisema alijua kuwa siku moja Mwanamke huyo angetumia mbinu ya kudai talaka ili kuchukua mali zake hivyo alijiandaa mapema😀
NDUGU YETU HUYU ANAPASWA KUPEWA CHEO GANI😀😅?
👇👇👇View attachment 2592307
Mkuu hizo habari Zipo kutufunza maisha na ukisikia ulimwengu unaowafunza walioshindikana Kwa mama zao ndo huwa hivi ukiona haina umuhimu Sana kwako unapita hivi Tu.Hayo ni maisha yake cha kujiuliza je ww una mali za kufanya ufuatilie stori za wenye pesa au utagawana vijiko na sahani. Cheo hapo mpe uafisa talaka
Hayo ni maisha yake cha kujiuliza je ww una mali za kufanya ufuatilie stori za wenye pesa au utagawana vijiko na sahani. Cheo hapo mpe uafisa talaka
Sahv wanaume wanakusanya tu wajue technics mbali mbaliMkuu hizo habari Zipo kutufunza maisha na ukisikia ulimwengu unaowafunza walioshindikana Kwa mama zao ndo huwa hivi ukiona haina umuhimu Sana kwako unapita hivi Tu.
kujifunza hakuna mipaka iposiku atakua tajiriHayo ni maisha yake cha kujiuliza je ww una mali za kufanya ufuatilie stori za wenye pesa au utagawana vijiko na sahani. Cheo hapo mpe uafisa talaka