Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?

Mshana hivi ninaweza kufanya hvyo lengo nipate kuona maisha yangu ya baadae yatakuwaje?
 
Mkuu naomba nielezee kama nijuavyo then kama nimekosea unisahishe.

Meditation kama ulivyosema ni kuadabisha ubongo lakini ubongo huu kwa kawaida uwa unafanya kazi kwa nyakati mbili yaani wakati uliopita na wakati ujao (both are illusion) na ndivyo ulivyotengenezwa kwaiyo unakutumikisha na unaenda tofauti na mwili wako maana action ya mwili inafanyika wakati uliopo sasa kitendo cha kuweka ubongo/ufahamu katika wakati uliopo ndio meditation na hapo ndo kwenye MAISHA na AMANI
 
hii ni kama uchawi ila white witchcraft... ulaya wanasoma darasan...unaweza ona future yako hata kesho ukajua itakuwaje... unaweza control mind za watu wengine na ukamforce mtu aamue according to ur willl iwe good or bad... kipengele hiki kinaitwa wishful thinking... kwa mfano naweza waroga mods wafute hii thread... nan anabisha?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
 
Mkuu mada imeanzia kwenye kujibu waliokuwa wanakufuata baada ya kupractice hii issue, naomba uianze tena na wengine tuijue vzr.
 
Naomba kujua kuhusu namna ya kuifanya na hatua zake, na je ni kila siku?
 
Yaani nilisoma kwenye gazeti katika miaka ya 2001 lakini sikufanikiwa kuiweza hii. Naomba kujua kama shule zinafundisha kwa hapa Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…