Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?

Asnt
 
Mimi pia hayo hutokea sana mara nyingi kwangu pia, ila kwa sasa hali hiyo inaanza kupotea.
Kuna siku baada ya kutoka kumeditate nilijikuta nimetokwa na manii
 
Sawa mkuu
 
Nilitaka nijaribu ila nimeogopa,nisije nikahisi natumbukia kwenye shimo refu bure uwiiii nitakufwa kwa presha,mi ni muoga kweli hata kwa vitu vya kufikirika
 
Mshana, meditation inaeza kukufanya ukapata kazi kama ulkuwa unatafta kaz kivipi?? Nlisoma kwa post zako, I mean wkt wa kumedetiate uwe unawaza kaz uipendayo au? Nieleweshe hapo
 
Hahaaaa mkuu[emoji15] [emoji15]
Hayo ni baadhi tu ya wanayokutana nayo kwa wale wanaoanza.
kwa uzoefu wangu na udadisi binafsi, naweza kusema ni kutokana na raha iliyopitiliza ambayo ni moja ya stage tu kuuelekea uhuru kamili/ukamilifu,na ndio maana inashauriwa pindi ufikiapo hatua hiyo jitahidi sana usipoteze lengo/yaani kama ni meditation ya pumzi uendelee hivohivo kubaki kwenye pumzi/usipumbazwe na hiyo raha kwasababu unakoelekea ni kwa muhimu zaidi.
Ngoja Mshana aje kututoa tongotongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…