Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi yawezekana Mungu mwenyewe aliingilia katiLile eneo lina asili ya ukungu kulingana ni sehemu ya miinuko sana.
Wala ukungu haukusababishwa na mtu.
Usitake kuanza kudanganya watu brothee.
Iko hivi.....ukitangaza wazi kuwa umehusika mauaji ya haniya ndani ardhi ya taifa huru.(Iran) Maana yake umetangaza vita rasmi dhidi Yao...ndiyo alichokifanya Israel.....na article namba 52 ya umoja wa mataifa inasema "taifa lolote Lina haki ya kijilinda dhidi ya uvamizi"Israel tukio la Haniyeh hawakukataa wala wahakukubali.
Na walivyoshutumiwa na Iran hawakupinga na waliposikia Iran inajiandaa kulipa kisasi iliandaa mazingira ya kujihami.
Ila tukio la Rais walikana kabla hata hawajashutumiwa.
Hapo unapata picha gani!?
wamejaribu albadiri na kurjuan tangia 1948 mpaka leo bila ushindi. kama wanaweza swali nani kakalia jiji la jerusalem? msikiti wa al aqsa mbona hauvumi duniani kwa ubora wake? mwambie hisbollah akauchukue kama anajua ya kuwa sanda haisifiwi kumpendeza maiti.kuwashinda inawezekana tena asubuhi tu kama kama mpambano ukiw ni israel vs hamas tu au israel vs hezbollah tu...USA na NATO wakae mbali
Umeelewa hata nilichoeleza??Iko hivi.....ukitangaza wazi kuwa umehusika mauaji ya haniya ndani ardhi ya taifa huru.(Iran) Maana yake umetangaza vita rasmi dhidi Yao...ndiyo alichokifanya Israel.....na article namba 52 ya umoja wa mataifa inasema "taifa lolote Lina haki ya kijilinda dhidi ya uvamizi"
Vijana mkishajazwa stori za vijiweni mna tabu!!wamejaribu albadiri na kurjuan tangia 1948 mpaka leo bila ushindi. kama wanaweza swali nani kakalia jiji la jerusalem? msikiti wa al aqsa mbona hauvumi duniani kwa ubora wake? mwambie hisbollah akauchukue kama anajua ya kuwa sanda haisifiwi kumpendeza maiti.
Conspiracy ndio aina ya utekelezaji tukio ulifanyika. Kifo kinatokea ktk hali sio yakibinadam na ukifanya upelelezi hupati majibu. Ukiangalia kifo cha Rais ambaye base on intelligence information inasemekana ndio mfadhili wa ule ugaidi Israeli baada ya Israel kujiridhisha mafunzo na kila reheso ilifanyika Iran chini ya Rais Israel wakapata siri nyingine ya jamaa kupewa pete na Ayatollah means anakuja kushika kiti cha spreem leader wakasema wamalizane naye mapema kwenye phase rahisi kabla yakufikia cheo itakuwa hard to eliminate hasa ukizingatia Israel na USA wanafanya project ya miaka mingi kuangusha huwo utawala so hawakutaka kizingiti kipya wakamalizana naye.Lile eneo lina asili ya ukungu kulingana ni sehemu ya miinuko sana.
Wala ukungu haukusababishwa na mtu.
Usitake kuanza kudanganya watu brothee.
Umeandika maelezo meengiiii yasiyo na tija.Conspiracy ndio aina ya utekelezaji tukio ulifanyika. Kifo kinatokea ktk hali sio yakibinadam na ukifanya upelelezi hupati majibu. Ukiangalia kifo cha Rais ambaye base on intelligence information inasemekana ndio mfadhili wa ule ugaidi Israeli baada ya Israel kujiridhisha mafunzo na kila reheso ilifanyika Iran chini ya Rais Israel wakapata siri nyingine ya jamaa kupewa pete na Ayatollah means anakuja kushika kiti cha spreem leader wakasema wamalizane naye mapema kwenye phase rahisi kabla yakufikia cheo itakuwa hard to eliminate hasa ukizingatia Israel na USA wanafanya project ya miaka mingi kuangusha huwo utawala so hawakutaka kizingiti kipya wakamalizana naye.
Hii ni siri kubwa sana na uwenda hujuwi USA wana hakikisha viongozi wenye itikadi kali hawakwai kiti chaa juu ktk mataifa wanamasilahi nayo. Putin na huyu wa china uwenda wanaweza kuwa viongozi wa mwisho kuwa madarakani maana wanawapa half life do jot ask me how..
Chaves wa Venezuelan before die aliimabia dunia wamarekani kupitia CIA ndio walio mmaliza. Na alimtaadharisha Putin ambaye ni rafiki yake mkubwa sana.
Hili putin hakuliamini sana mpaka na yeye alipojikuta kwenye hit list same kukutwa na hali ambayo nichanzo kikubwa cha vita inaendelea.
Zipo tetesi muda wa Putin duniani unasema kama mshale wa jion kwa wana cia na jinsi yakumuondoa nikute ngeneza more panic in cremlin the ataondoka usingizini. Hii taarifa ilikuwa kwenye mikono ya Bunavon mwana usalama chief ktk idara za usalama wa Ukraine. Jambo hili lilifanya Urusi kutaka kichwa chake maana walijiridhisha mwamba ana taarifa nyeti za Rais wao na muda wakuondoka kwake... bundiiiii
Mkuu, nimeona Andiko lisemalo, Iran yaituhumu Usrael kwa mauwaji ya Rais waoUmeandika maelezo meengiiii yasiyo na tija.
Ayatollah Khomeini ana mwanawe mwenye itikadi kali kama yeye ambaye anao uwezo wa kuchukua kiti.
Kumuua Ebrahim Raisi haina mantiki.
Netanyahu alikana wazi kabisa KUWA ISRAEL HAIHUSIKI NA KIFO CHA IBRAHIM RAISI.
Haikuwahi tokea Israel akatae kufanya tukio.
Tukio la Ismail Haniyeh alikua anajua alichokifanya ndio maana akajiandaa kwa mashambulizi kama atashambuliwa na Iran.
Ila tukio la Ebrahim alikana wazi na haraka haraka.
Waswahili mnalazimisha nadharia ambazo hazipo aisee wacheni.
Nimeisoma na wewe nenda kaisome je una uhakika ndio Iran imeituhumu Israel!?Mkuu, nimeona Andiko lisemalo, Iran yaituhumu Usrael kwa mauwaji ya Rais wao
Inasadikiwa Israel alitumia Pagers
Hata hao hamas si hamas kama ujuavyo hata usishangae urusi ukamkuta humo hivo vita inapiganwa kwa alliances na si individualskuwashinda inawezekana tena asubuhi tu kama kama mpambano ukiw ni israel vs hamas tu au israel vs hezbollah tu...USA na NATO wakae mbali