Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

Mpaka leo hivyo vifaa vina3ndelea kulipuka.

Anacho fanya israel ana haribu mawasiliano ya hawa Hezbollah kisha aanze kujipigia tu
Doh!

Acha wakipate hawa warabu na ujinga wao
 
Iran abadilishe maji ya bahari kuwa ya baridi ili yatumike kama afanyavyo Israel
 
Israel tukio la Haniyeh hawakukataa wala wahakukubali.
Na walivyoshutumiwa na Iran hawakupinga na waliposikia Iran inajiandaa kulipa kisasi iliandaa mazingira ya kujihami.
Ila tukio la Rais walikana kabla hata hawajashutumiwa.
Hapo unapata picha gani!?
Iko hivi.....ukitangaza wazi kuwa umehusika mauaji ya haniya ndani ardhi ya taifa huru.(Iran) Maana yake umetangaza vita rasmi dhidi Yao...ndiyo alichokifanya Israel.....na article namba 52 ya umoja wa mataifa inasema "taifa lolote Lina haki ya kijilinda dhidi ya uvamizi"
 
kuwashinda inawezekana tena asubuhi tu kama kama mpambano ukiw ni israel vs hamas tu au israel vs hezbollah tu...USA na NATO wakae mbali
wamejaribu albadiri na kurjuan tangia 1948 mpaka leo bila ushindi. kama wanaweza swali nani kakalia jiji la jerusalem? msikiti wa al aqsa mbona hauvumi duniani kwa ubora wake? mwambie hisbollah akauchukue kama anajua ya kuwa sanda haisifiwi kumpendeza maiti.
 
Umeelewa hata nilichoeleza??
Embu soma kwa umakini.
Ya kuuawa Haniyeh na kufa Ibrahim Raisi havifanani.
Ebrahim Raisi Israel haihusiki ilikataa na kukana hadharani.
Ya Ismail Haniyeh Israel imehusika ndio maana haikukataa iliposhutumiwa na Iran na walijiandaa kama watalipizwa.
Hiyo article ulioieleza ya UN haifanyi kazi kwa kumuua mtu kwenye taifa la watu.
Haniyeh angeuawa Gaza sahihi ila sio Iran.
Umeinukuu vibaya.
 
wamejaribu albadiri na kurjuan tangia 1948 mpaka leo bila ushindi. kama wanaweza swali nani kakalia jiji la jerusalem? msikiti wa al aqsa mbona hauvumi duniani kwa ubora wake? mwambie hisbollah akauchukue kama anajua ya kuwa sanda haisifiwi kumpendeza maiti.
Vijana mkishajazwa stori za vijiweni mna tabu!!
Hivi umewahi kujiuliza kwanini Israel haivunji msikiti wa Aqswa!??
Na jiulize toka 1948 je Israel inaishi kwa amani!??
Hiyo al aqswa ni sawa na demilitarized region.
Akiingia askari wa IDF kunanuka hapo na kutokea maafa makubwa.
Usitudanganye eti Israel anapadhibiti.
Kama anapadhibiti angeshapavunja muda sana kama anavyovunja makanisa ya Jenin.
 
Lile eneo lina asili ya ukungu kulingana ni sehemu ya miinuko sana.
Wala ukungu haukusababishwa na mtu.
Usitake kuanza kudanganya watu brothee.
Conspiracy ndio aina ya utekelezaji tukio ulifanyika. Kifo kinatokea ktk hali sio yakibinadam na ukifanya upelelezi hupati majibu. Ukiangalia kifo cha Rais ambaye base on intelligence information inasemekana ndio mfadhili wa ule ugaidi Israeli baada ya Israel kujiridhisha mafunzo na kila reheso ilifanyika Iran chini ya Rais Israel wakapata siri nyingine ya jamaa kupewa pete na Ayatollah means anakuja kushika kiti cha spreem leader wakasema wamalizane naye mapema kwenye phase rahisi kabla yakufikia cheo itakuwa hard to eliminate hasa ukizingatia Israel na USA wanafanya project ya miaka mingi kuangusha huwo utawala so hawakutaka kizingiti kipya wakamalizana naye.
Hii ni siri kubwa sana na uwenda hujuwi USA wana hakikisha viongozi wenye itikadi kali hawakwai kiti chaa juu ktk mataifa wanamasilahi nayo. Putin na huyu wa china uwenda wanaweza kuwa viongozi wa mwisho kuwa madarakani maana wanawapa half life do jot ask me how..
Chaves wa Venezuelan before die aliimabia dunia wamarekani kupitia CIA ndio walio mmaliza. Na alimtaadharisha Putin ambaye ni rafiki yake mkubwa sana.
Hili putin hakuliamini sana mpaka na yeye alipojikuta kwenye hit list same kukutwa na hali ambayo nichanzo kikubwa cha vita inaendelea.
Zipo tetesi muda wa Putin duniani unasema kama mshale wa jion kwa wana cia na jinsi yakumuondoa nikute ngeneza more panic in cremlin the ataondoka usingizini. Hii taarifa ilikuwa kwenye mikono ya Bunavon mwana usalama chief ktk idara za usalama wa Ukraine. Jambo hili lilifanya Urusi kutaka kichwa chake maana walijiridhisha mwamba ana taarifa nyeti za Rais wao na muda wakuondoka kwake... bundiiiii
 
Umeandika maelezo meengiiii yasiyo na tija.
Ayatollah Khomeini ana mwanawe mwenye itikadi kali kama yeye ambaye anao uwezo wa kuchukua kiti.
Kumuua Ebrahim Raisi haina mantiki.
Netanyahu alikana wazi kabisa KUWA ISRAEL HAIHUSIKI NA KIFO CHA IBRAHIM RAISI.
Haikuwahi tokea Israel akatae kufanya tukio.
Tukio la Ismail Haniyeh alikua anajua alichokifanya ndio maana akajiandaa kwa mashambulizi kama atashambuliwa na Iran.
Ila tukio la Ebrahim alikana wazi na haraka haraka.

Waswahili mnalazimisha nadharia ambazo hazipo aisee wacheni.
 
Mkuu, nimeona Andiko lisemalo, Iran yaituhumu Usrael kwa mauwaji ya Rais wao

Inasadikiwa Israel alitumia Pagers
 
Nimeisoma na wewe nenda kaisome je una uhakika ndio Iran imeituhumu Israel!?
Je Iranian official yupi alitamka na katika chombo kipi cha habari!?
 
kuwashinda inawezekana tena asubuhi tu kama kama mpambano ukiw ni israel vs hamas tu au israel vs hezbollah tu...USA na NATO wakae mbali
Hata hao hamas si hamas kama ujuavyo hata usishangae urusi ukamkuta humo hivo vita inapiganwa kwa alliances na si individuals
 
Back
Top Bottom