Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

Hivi hawakujua kwamba ni kinyume cha sheria kufanya vile
 
Imewagharimu
Hata hivyo walifanya jambo hatarishi sana,kitendo cha kuvuka mpaka wa nchi nyingine ukiwa askari tena una silaha, tafsiri yake ni uvamizi.
Hii ingeweza kuleta uhasama au hata majibizano ya risasi kwa jambo la kijinga kiasi hiki.
 
😂 😂 😎 PGO bana.........hao ni samaki wachanga......hata mkuu wa kituo anapaswa kuwajibishwa....gari za polisi mara nyingi huwa na redio call....
 
Polisi wa Tanzania wengi wana matatizo ya akili....na hii hasa inatokana na inferiority complex walio nayo.
 
Back
Top Bottom