Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
[emoji38][emoji38][emoji38]Piga Gwaride Ondoka zako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Piga Gwaride Ondoka zako!
Yule aliemsogelea hamza mita 5 siku ile nae inabidi afukuzwe,alilidharirisha sana jeshi la polisiAskari wetu wanapaswa kuboreshewa mafunzo. Wana matatizo mengi
kazi wanayoHawawezi kusoma lugha iliyotumika "English" hawaielewi
Nimecheka[emoji2][emoji23][emoji23]Waje mtaani kujiajiri.....
kusoma kingereza unafaham mkuuOya hio PGO nimegoogle kirefu chake ni Police General Order ina nini mbona kila mtu anaitaja humu?, kuna habari gani kuhusu hilii, nimekua bussy sana
Wala sio mafunzo!!hizo ni njaa tu, nchi hii unaweza mtoa askari mkoa wa dar, na akaenda kukufanyia kazi mkoa wa pwani,bila hata wakuu wake kujua kwakuwa tu ameshaona hilo deal lina lipa, likitick powa likibuma matokeo yake ndio hayo!!!yaani 20, 000 ina kupelekea kupoteza kazi!!!Askari wetu wanapaswa kuboreshewa mafunzo. Wana matatizo mengi
Asante, ngoja niutafute.Police General Order.
Ni muongozo wa namna kazi za kipolisi zinavyofanyika.
Bado madogo wale,tamaa ya hela imewaponza,lakini warudi uraiani wajipange upya,wanaweza wakaja wakatusua kinoma kwa miaka ijayo. Kila la kheri,na pole kwao. Wale wa sayansi wakasomee hata udaktari na kazi nyingine,wale waliojua ujasiriamali,wakomae,watatusua,hiyo ni ajali kazini.Ila GPO ni kisanga kwa hawa ndugu.
Bado madogo wale,tamaa ya hela imewaponza,lakini warudi uraiani wajipange upya,wanaweza wakaja wakatusua kinoma kwa miaka ijayo. Kila la kheri,na pole kwao. Wale wa sayansi wakasomee hata udaktari na kazi nyingine,wale waliojua ujasiriamali,wakomae,watatusua,hiyo ni ajali kazini.Ila GPO ni kisanga kwa hawa ndugu.
21 SEPTEMBER 2021 ILEJE, SONGWE TANZANIA Askari 7 wa kituo cha Polisi cha Ileje bila kutoa taarifa kokote wala kibali cha IGP wa Tanzania waliingia katika nchi ya Malawi wilaya Chitika wakidai kufukuzia magendo wakiwa na silaha 2 za SMG kila mmoja ikiwa na risasi 30 na gari moja la jeshi la Polisi la Tanzania. Kufuatia kitendo hicho walikumbana na wananchi wa wenye hasira kali Malawi kupelekea askari polisi 4 kukamatwa pamoja na silaha mbili, risasi 60 na gari la polisi lenye usajili PT kushikiliwa nchini Malawi. Askari hawa kwa kushindwa kufuata sheria ya utekelezaji kazi, kupata ruhusa, kutumwa / kupewa idhini halali toka ofisa wa Cheo cha juu kama zilizoainishwa na kanuni za GPO (general police orders), jeshi la Polisi kupitia mkuu wa Polisi mkoa wa Songwe amewafukuza kazi askari kwa kudhalilisha Jeshi la Polisi na pia kuifedhehesha nchi kwa vitendo vyao kufanya kazi bila kufuata GPO zinavyotaka. Source : MATUKIO DAIMA TV
Sio migambo mkuu Ni " TUSAMINIWE" hata Hadhi ya migambo hawana haoHao kuwnzia sasa ni migambo wapya
Imagine police anavuka border to the other side huku yuko armed? Nimeshangaa sanaa daah...Askari wetu wanapaswa kuboreshewa mafunzo. Wana matatizo mengi