Songwe: Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express lapata ajali, watu wanne wafariki dunia

Matrafiki wenyewe huwa wanakagua mabasi ambayo hayana majina makubwa.
Kuna siku nimepanda KYELA EXPRES kutoka DAR waliniachia Makambako.
Trafiki waliingia mara 2 na maafisa uhamiaji mara 1 kukagua ID's. Lakini cha kushangaza mabasi maarufu unakuta safari ya km 900+ hakuna trafiki anayeingia kukagua na kumbe ndani abiria wamekalia vindoo na mabegi kwenye korido kati pale.
 
Mabasi yana namba ABX bado yanapiga long safari sio sawa! Hata Abood ana kamchezo hako; yale ya zamani ndio yanapigishwa long safari; mapya yanaishia hapo Morogoro. Huwa siwaelewi.
Hayo magari hayana ubovu wowote. Machine zipo njema kabisa. Usiangalie hizo namba A.

Kuhusu ajali, imesemwa hapo juu ni uzembe wa dereva kuyapita magari yaliyo mbele yake. .
 
RPC yupo,RTO yupo na trafiki wapo.Fukuza hao Ili wengine wastuke,uzembe imezidi.
 
Hivi hao abiria uwa wanalipa nusu nauli? Mtu na akili zako timamu unakaaje kwenye ndoo?
 
Mungu mkubwa kama kweli wamepona watu hapo!!!
 
Mabasi yana namba ABX bado yanapiga long safari sio sawa! Hata Abood ana kamchezo hako; yale ya zamani ndio yanapigishwa long safari; mapya yanaishia hapo Morogoro. Huwa siwaelewi.
Cku hz tunduma Abood anapeleka basi nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…