#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Songwe limekamata kiwanda feki cha kutengeneza sukari katika eneo la Mlowo lililopo wilayani Mbozi, mkoani Songwe, pamoja na watuhumiwa 5 wakiwa na kilo 440 za sukari pamoja na vifungashio ambavyo vinadaiwa kutengenezwa nje ya nchi.
#ITVUpdatesView attachment 2439057
Kuliko ccm?Huyo ni tapeli muhujumu uchumi.
tfda ilishajifia zamani mkuuKabla ya kumtetea lazima tujue hiyo sukari inafaa kwa matumizi ya binadamu? Maana inakwenda kuingia mwilini isije kwenda kuharibu figo za watu. Watu wamevurugwa hawajali tena afya za wengine wanaangalia pesa tu. Kwanini asichukue vibali tbs /tfda kama hiyo sukari yake ni safe na haina madhara kwa binadamu
Hapo angepewa hata incentive Ni sawa na mzee mmoja alibuni umeme wake na akasupply Kijiji kizima ilikua no masuala ya umeme kukata no mita za luku ila ukiamua unampa ata kiasi kwaajili ya uendeshajiKabuni kiwanda cha sukari kakamatwa hii serikali ni ya hovyo sana Polisi mjitafakari
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Songwe limekamata kiwanda feki cha kutengeneza sukari katika eneo la Mlowo lililopo wilayani Mbozi, mkoani Songwe, pamoja na watuhumiwa 5 wakiwa na kilo 440 za sukari pamoja na vifungashio ambavyo vinadaiwa kutengenezwa nje ya nchi.
#ITVUpdatesView attachment 2439064
Labda kwasababu anatumia chapa ya watu Bwana Sukari.#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Songwe limekamata kiwanda feki cha kutengeneza sukari katika eneo la Mlowo lililopo wilayani Mbozi, mkoani Songwe, pamoja na watuhumiwa 5 wakiwa na kilo 440 za sukari pamoja na vifungashio ambavyo vinadaiwa kutengenezwa nje ya nchi.
#ITVUpdatesView attachment 2439057
Yule mzee wa tabata aliyetengeneza mtambo wa kufua umeme bila maji wa la mafuta wala kelele aliishia wapi.Hapo angepewa hata incentive Ni sawa na mzee mmoja alibuni umeme wake na akasupply Kijiji kizima ilikua no masuala ya umeme kukata no mita za luku ila ukiamua unampa ata kiasi kwaajili ya uendeshaji
Tanesco wakamkamata kwamba anahujumu mapato yao, wakati hawajapeleka umeme area zile Yule mzee na meneja wa tanesco waliitwa ikulu na mwendazake na alipewa 20m Kama fidia ya usumbufu
Ilibidi apige ela aondokeYule mzee wa tabata aliyetengeneza mtambo wa kufua umeme bila maji wa la mafuta wala kelele aliishia wapi.
Mzre alijifanya mzalendo watu wanataka awauzie tech eti ye ooh nataka ifaidishe nchi yangu, hapa hakuna nayejali.
Ndiyo serikali imsaidie. Haga huko Ulaya bunifu zak zimechukua muda kiwa refined.Kabla ya kumtetea lazima tujue hiyo sukari inafaa kwa matumizi ya binadamu? Maana inakwenda kuingia mwilini isije kwenda kuharibu figo za watu. Watu wamevurugwa hawajali tena afya za wengine wanaangalia pesa tu. Kwanini asichukue vibali tbs /tfda kama hiyo sukari yake ni safe na haina madhara kwa binadamu
Sio TanzaniaHuyo mtu asaidiwe badala ya kukamatwa
Maskini wakikuvalia chupi upande hautoboiNchi ya maskini na wivu wao
wapigwe faini halafu wapime sukari kama haina madhara wafate taratibu wasajiliwe .#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Songwe limekamata kiwanda feki cha kutengeneza sukari katika eneo la Mlowo lililopo wilayani Mbozi, mkoani Songwe, pamoja na watuhumiwa 5 wakiwa na kilo 440 za sukari pamoja na vifungashio ambavyo vinadaiwa kutengenezwa nje ya nchi.
#ITVUpdatesView attachment 2439057
Apo mlowo wanalima miwa sana ko sizani kama ni hivyo ingekua ivo angejenga tunduma ukoHuyu ananunua Sukari ya Zambia kwa magendo kisha anaiweka kwenye vifungashio vya Sukari ya Tanzania kwa hiyo huyu ni mlanguzi
Vipaji vya kutengeneza vyakula vya watu?? Unajua anatumia ingredient gani kutengeneza sukari?? Anatumia vifaa gani?? Na je packaging yake anatumia brand gani,isije kuwa anazalisha sukari halafu anaweka package ya viwanda vys wenzake kama bwana sukari au azam hilo ni kosa pia,kama anatumia brand yake amefuata taratibu?? Dunia nzima njia pekwe ya kuzalisha sukari ni kupitia miwa,yy kama hana shamba la miwa atuambie sukaro yskw anaizalishaje asilishe watu vitu vya ajabu!!Serikali ituambie vipaji kama hivi vinaendelezwaje?
Sukari huzalishqa kutoka kwnye miwa,wazalishaji wote wa sukari wana mashamba ya miwa,ndo maana bakhresa amelima shamba lake miaka 3 bagamoyo ndo ameanza uzalishaji,huyo bwana shqmba lake lipo wapi??Labda kwasababu anatumia chapa ya watu Bwana Sukari.
Ukikutana na sukari yenye chapa ya bwana sukari mbovu mbovu dukani lawama zitaenda kwa wazalishaji wa Bwana Sukari.
Mkuu hiki ni kiwanda au anafanya kununua sukari gunia na kupack kwenye packet ndogo ndogo za Bwana Sukari.
Ila TZ wangeweka mazingira watu tuwe na viwanda vidogo vidogo tu home yani kama ambavyo kila baada ya nyumba kuna msanii basi kila baada ya nyumba kuna kiwanda home tunafyatua hata fekero za gucci
Waliowatuma wakamataji, ndo hao hao wanaotakiwa kusema kama inafaa kwa matumizi ya binadamu au la.!!Kabla ya kumtetea lazima tujue hiyo sukari inafaa kwa matumizi ya binadamu? Maana inakwenda kuingia mwilini isije kwenda kuharibu figo za watu. Watu wamevurugwa hawajali tena afya za wengine wanaangalia pesa tu. Kwanini asichukue vibali tbs /tfda kama hiyo sukari yake ni safe na haina madhara kwa binadamu