sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Nakubaliana nawe, nchi yetu inaendeshwa kwa utaratibu MBOVU.labda mtafute nchi yenu ambayo haitakuwa na utaratibu. hakuna nchi yoyote duniani inaendeshwa bila utaratibu. yaani mtu aje na petroli yake kutoka huko ajuako yeye aanza kuiuza mtaani bila kufuata utaratibu eti aachiwe tu!!!! hiyo haiwezekani!!!!