saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
We ulitaka aachiwe? Siku ukianza kuharisha kwa kutumia hiyo sukari wa kwanza kulalamika, mmelogwa na nani?Hapo wenye viwanda vikubwa wameshapenyeza rupia kwa askari ili jamaa ashughulikiwe,maskini nchi yangu!!!
miwa ananunua wapi, acheni kubuni atakuwa naingiza kutoka nje kimagendo. Kuzalisha sukari ni jambo rahisi kihivyoHuyu mimi namwita mjasilimali mwenye kutumia nembo au jina la company yake ndogo. Akitegemea baadae awe na kampuni kubwa
Ni kweli kabisa, ni viongozi tu wa serikali ndio wanaoruhusiwa kufanya vitu bila utaratibu, sio kila mtuSasa mtu aibuke tu aanze kuzalisha bidhaa bila utaratibu aachwe kweli. Hii ni nchi ina taratibu zinatotakiwa kufatwa unapotaka kufanya jambo. Tena ukizingatia kitu kama sukari ni kitu kinachoenda kuingia miilini mwa watu, tuna uhakika gani kama hiyo sukari ina viwango bora kwa ajili ya matumizi ya binadamu?!! Jaribu kufkiria. Nchi ina watu wengi sana, kama kila mtu akisema afanye chake bila utaratibu, hapata kalika
Hii sukari hatengenezi yeye isipokuwa anajumua Zambia then anakuja kuipaki kwenye vifungashio vya Tanzania ili auze maana akiacha na vifungashio vya Zambia anakamatwaKabla ya kumtetea lazima tujue hiyo sukari inafaa kwa matumizi ya binadamu? Maana inakwenda kuingia mwilini isije kwenda kuharibu figo za watu. Watu wamevurugwa hawajali tena afya za wengine wanaangalia pesa tu. Kwanini asichukue vibali tbs /tfda kama hiyo sukari yake ni safe na haina madhara kwa binadamu
Ndio serikali inataka kodi inataka tozo inataka uthibiti na udhibiti, yeye kakwepa vyote hivyo hilo ndio kosa lake, ila sio kwamba ni kiwanda FekiKiwanda. Feki ndio kiwanda gani?? Sema kiwanda kisochofata taratibu za kisheria kuzalisha na kutoa huduma.
Ndio alipie kodi na tozo na ajisajiri TRA kwa Biashara hio bila hivyo anaonekana km haramia tu wa Biashara mboni wengine wanafuata utaratibu hawasumbuliwi?Hii sukari hatengenezi yeye isipokuwa anajumua Zambia then anakuja kuipaki kwenye vifungashio vya Tanzania ili auze maana akiacha na vifungashio vya Zambia anakamatwa
Nimeanza kuelewa..sijaona mazingira ya kiwanda hapo.Huyu ananunua Sukari ya Zambia kwa magendo kisha anaiweka kwenye vifungashio vya Sukari ya Tanzania kwa hiyo huyu ni mlanguzi
Serikali ipo serious sana kuhakikisha watu wake wanakuwa na maisha magumu. Yaani haiangalii hao wanunuzi watavyoathirika kwa mwokozi wao kukamatwa. Kama sukari ya Zambia ni bei rahisi - serikali si iwahimishie Zambia watu wakeHii sukari hatengenezi yeye isipokuwa anajumua Zambia then anakuja kuipaki kwenye vifungashio vya Tanzania ili auze maana akiacha na vifungashio vya Zambia anakamatwa
lazima pia tuzikumbuke afya zetu, tukishangilia watu wanaoanzisha viwanda bubu vya vykaula badae tukianza kuathirika tutakuwa wa kwanza tena kuilaumu serikali. kama ni mjasiriamali , ana ujuzi wa kuanzisha kiwanda kidogo kama hicho angeenda SIDO,TIRDO, n.k wangempa suport nzuri tu.#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Songwe limekamata kiwanda feki cha kutengeneza sukari katika eneo la Mlowo lililopo wilayani Mbozi, mkoani Songwe, pamoja na watuhumiwa 5 wakiwa na kilo 440 za sukari pamoja na vifungashio ambavyo vinadaiwa kutengenezwa nje ya nchi.
#ITVUpdatesView attachment 2439057
pia serious sana kuhakikisha afya za watz zinalindwa, huwezi kuachia uholela huu eti ili mradi tu, sukari toka zambia ni bei rahisi!!! unaijua kainunua wapi?!?, pengine hata huko ilikotoka ilishapigwa marufuku. iacheni serikali itimize wajibu wake kwa manufaa yetu wote, hivi kila mtu akiruhusiwa kuanzisha kiwanda cha chakula bila kufuata utaratibu unadhani itakuwaje?!? michele matani na matani inamwagwa inapogundulika haifai kwa matumizi ya binadamu, sembuse visukari hivyo!!!!Serikali ipo serious sana kuhakikisha watu wake wanakuwa na maisha magumu. Yaani haiangalii hao wanunuzi watavyoathirika kwa mwokozi wao kukamatwa. Kama sukari ya Zambia ni bei rahisi - serikali si iwahimishie Zambia watu wake
Viongozi wizi wananchi unataka wawe nani? Hii nchi bila ya dhuluma,wizi,utapeli na mission town huwezi kuishi.miwa ananunua wapi, acheni kubuni atakuwa naingiza kutoka nje kimagendo. Kuzalisha sukari ni jambo rahisi kihivyo
Huko mbozi kila baada ya miaka kadhaa huwa wanabuni vitu halafu wanaishia kukamatwa,badala ya kuwaita wabunifu na kuwawezeshaHuyo mtu asaidiwe badala ya kukamatwa
Mbona tunakula unga fake Hadi andazi linakosa rangipia serious sana kuhakikisha afya za watz zinalindwa, huwezi kuachia uholela huu eti ili mradi tu, sukari toka zambia ni bei rahisi!!! unaijua kainunua wapi?!?, pengine hata huko ilikotoka ilishapigwa marufuku. iacheni serikali itimize wajibu wake kwa manufaa yetu wote, hivi kila mtu akiruhusiwa kuanzisha kiwanda cha chakula bila kufuata utaratibu unadhani itakuwaje?!? michele matani na matani inamwagwa inapogundulika haifai kwa matumizi ya binadamu, sembuse visukari hivyo!!!!
Feki ni kiwanda chochote kinachotengeneza bidhaa ambayo haijathibitishwa na TBS au mamlaka ya chakula na dawaKiwanda. Feki ndio kiwanda gani?? Sema kiwanda kisochofata taratibu za kisheria kuzalisha na kutoa huduma.
Kuna mtu aliyekufa kwa kula hiyo sukari?Feki ni kiwanda chochote kinachotengeneza bidhaa ambayo haijathibitishwa na TBS au mamlaka ya chakula na dawa
Unajuaje kuwa hiyo sukari yafaa kwa matumizi ya binadamu?
Una vipimo vya kuthibitisha? Halafu wewe tukuamini kama nani unatambuliwa wapi kama unatengeneza sukari yenye sumu ya kuua watu uachwe tu?
Serikali ni pamoja na huyo aliyekamatwa, yeye anawasaidia watanzania wenzake, jukumu ambalo lilikuwa la viongozi wa serikali na wamefeli, anawasaidia kwa kuwauzia sukari kwa bei nafuu, walioshindwa kazi badala ya kufurahi na kumpongeza wao wanakuja kumkata na kuanza kuleta dhana dhahania kibao kama hizo zako za unajuaje haina sumu au imepigwa marufuku nk...pia serious sana kuhakikisha afya za watz zinalindwa, huwezi kuachia uholela huu eti ili mradi tu, sukari toka zambia ni bei rahisi!!! unaijua kainunua wapi?!?, pengine hata huko ilikotoka ilishapigwa marufuku. iacheni serikali itimize wajibu wake kwa manufaa yetu wote, hivi kila mtu akiruhusiwa kuanzisha kiwanda cha chakula bila kufuata utaratibu unadhani itakuwaje?!? michele matani na matani inamwagwa inapogundulika haifai kwa matumizi ya binadamu, sembuse visukari hivyo!!!!
Na hata ukiwa na shamba la miwa, gharama ya ''kupika'' sukari ni kubwa kulinganisha na faida. Ingekuwa ni rahisi kutengeneza nchi hii kusingekuwa na tatizo la sukari.Hao jamaa hawatengenezi sukari ila ni wakwepa kodi,wanaingiza sukari kima gendo then wanatoa kwenye package yake na kuweka package inayopatikana tanzania.utakua na kiwanda bila shamba la miwa!?
labda mtafute nchi yenu ambayo haitakuwa na utaratibu. hakuna nchi yoyote duniani inaendeshwa bila utaratibu. yaani mtu aje na petroli yake kutoka huko ajuako yeye aanza kuiuza mtaani bila kufuata utaratibu eti aachiwe tu!!!! hiyo haiwezekani!!!!Serikali ni pamoja na huyo aliyekamatwa, yeye anawasaidia watanzania wenzake, jukumu ambalo lilikuwa la viongozi wa serikali na wamefeli, anawasaidia kwa kuwauzia sukari kwa bei nafuu, walioshindwa kazi badala ya kufurahi na kumpongeza wao wanakuja kumkata na kuanza kuleta dhana dhahania kibao kama hizo zako za unajuaje haina sumu au imepigwa marufuku nk...
Acheni watu wasaidie watanzania wenzao ambao hamuwajali kwa lolote.
aununua wp?Mbona tunakula unga fake Hadi andazi linakosa rangi