sajo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 3,474 Reaction score 6,195 Dec 8, 2022 #61 Johnson Fundi said: labda mtafute nchi yenu ambayo haitakuwa na utaratibu. hakuna nchi yoyote duniani inaendeshwa bila utaratibu. yaani mtu aje na petroli yake kutoka huko ajuako yeye aanza kuiuza mtaani bila kufuata utaratibu eti aachiwe tu!!!! hiyo haiwezekani!!!! Click to expand... Nakubaliana nawe, nchi yetu inaendeshwa kwa utaratibu MBOVU.
Johnson Fundi said: labda mtafute nchi yenu ambayo haitakuwa na utaratibu. hakuna nchi yoyote duniani inaendeshwa bila utaratibu. yaani mtu aje na petroli yake kutoka huko ajuako yeye aanza kuiuza mtaani bila kufuata utaratibu eti aachiwe tu!!!! hiyo haiwezekani!!!! Click to expand... Nakubaliana nawe, nchi yetu inaendeshwa kwa utaratibu MBOVU.