- Thread starter
- #121
DNA hajapima. Kuna wakati alikuwa serious kupima lakini akawa anasema akikuta sio wake anarudi alikotoka. Nikamwambia labda kupima apime kwa ajili ya amani ya moyo tu lakini kama sio wake still asirudishwe kwasababu mtoto alishaanza kusoma shule na akirudishwa itakuwaje tena akaende shule hizi maarufu kama kayumba? na ameshazoea mazingira fulani arudi kwenye mazingira duni. Nikamwambia sioni sababu kama sio wako utakuwa umejitoelea. Kama wako well and good. Miaka ikaenda akawa hazungumzii tena sana suala la DNA kihivyo. Japo at times anasema tu ana doubt. Mimi suala la DNA sikuliweka maanani kwasababu kama mtoto alikuwa kwa mama yake basi inge make sense kuzungumzia hilo lakini alikuwa kashachukuliwa na kuja upande wa baba yake.Kwa maelezo yako alikuambia anataka kumpima DNA na hakukuweka wazi tangu awali kwamba atamleta umlee na hajamuweka karibu na watoto wako kivilee..... Unaijua sababu? DNA wameshapima??
Wanaume nao ni binadamu wenye utashi mkubwa...... Labda alikua anakuangalia na kukusikilizia kama unaweza kuishi nae kiroho safi au alikua anasubiri akuekue aweze kujitetea ndio amlete😂😂😂
Kuhusu kutomuweka karibu kivile sijui sababu lakini pia tunakaa mikoa tofauti na aliko mtoto. Sio mkoa mmoja. Kuhusu alitaka akuekue sijui labda.. Kama alikuwa ananiangalia pia sijui! hahahah