Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

Kwa maelezo yako alikuambia anataka kumpima DNA na hakukuweka wazi tangu awali kwamba atamleta umlee na hajamuweka karibu na watoto wako kivilee..... Unaijua sababu? DNA wameshapima??

Wanaume nao ni binadamu wenye utashi mkubwa...... Labda alikua anakuangalia na kukusikilizia kama unaweza kuishi nae kiroho safi au alikua anasubiri akuekue aweze kujitetea ndio amlete😂😂😂
DNA hajapima. Kuna wakati alikuwa serious kupima lakini akawa anasema akikuta sio wake anarudi alikotoka. Nikamwambia labda kupima apime kwa ajili ya amani ya moyo tu lakini kama sio wake still asirudishwe kwasababu mtoto alishaanza kusoma shule na akirudishwa itakuwaje tena akaende shule hizi maarufu kama kayumba? na ameshazoea mazingira fulani arudi kwenye mazingira duni. Nikamwambia sioni sababu kama sio wako utakuwa umejitoelea. Kama wako well and good. Miaka ikaenda akawa hazungumzii tena sana suala la DNA kihivyo. Japo at times anasema tu ana doubt. Mimi suala la DNA sikuliweka maanani kwasababu kama mtoto alikuwa kwa mama yake basi inge make sense kuzungumzia hilo lakini alikuwa kashachukuliwa na kuja upande wa baba yake.

Kuhusu kutomuweka karibu kivile sijui sababu lakini pia tunakaa mikoa tofauti na aliko mtoto. Sio mkoa mmoja. Kuhusu alitaka akuekue sijui labda.. Kama alikuwa ananiangalia pia sijui! hahahah
 
Mwache aje mwaya wala usijiumize........ ataishi kama wanavyoishi ndugu zake kwa kufuata katiba ya nyumba yako.

Usijione mnyonge kuwa mama wa kambo, wewe kama mama mwenye mji wake toa dose ya malezi sawa kwa wote

Wakati mwingine Shetani anatujaribu na Mungu anatupima imani

Unaweza kuwa mama bora sana kwa huyo mtoto na sio mama wa kambo ambao kiafrikaafrika ni watesaji wa watoto wa wenzao
 
Usijiite 'mama wa kambo' hii haijakaa poa sana dada yangu. Wewe ni mama sio mama wa kambo.

Binafsi nimewahi kuishi na mama wawili nyakati tofauti tofauti na love ilikuwepo kama kawaida tu, sikuwahi kutendewa ubaya na yeyote kati yao.
Nimekupata! ukweli kwa jinsi navyoonaga wamama wa kambo wanavyochukuliwa ni wabaya na baadhi ya wana jamii nikaogopaga kuja kuwa na cheo hicho but unfortunately maisha yameenda nikawa mkubwa na ikatokea hivyo. Ndio maana kwenye post nilisema sikuwahi kuwaza kuwa one of them kwa maana hiyo nilikuwa nakwepa single fathers just as wengine wanavyokwepa au kuogopa kuoana na single mothers. Mambo yataenda sawa tu Mungu mwema. Maisha wakati mwingine hayaendi unavyopanga. Nashukuru kwa ushauri pia nashukuru kwa watu waliotoa ushuhuda wa kulelewa vizuri na mama ambao hawajawazaa. Inatia moyo sio wote wanaonekana wabaya.
 
Kwa haya maandishi yako ni dhahiri kuwa hukupendezwa na jambo hili.........negativity uliyo mayo ndio imekufanya uje kuomba ushauri......na wanawake wengi concern yao ni mirathi na choyo.....maana wanaamini mwanaume atatangulia kufa......
unayosema sio kweli . Labda hujaelewa post maana kuna mahali nimesema kabisa nilitamani hata aletwe mapema akue kulingana na parenting style yangu na mume wangu. Kwamba sasa analetwa ameshakuwa sina shida. Niliulizia maandalizi yapi nifanye ili niweze uwa bora zaidi
 
Nashukuru sana
Mwache aje mwaya wala usijiumize........ ataishi kama wanavyoishi ndugu zake kwa kufuata katiba ya nyumba yako.

Usijione mnyonge kuwa mama wa kambo, wewe kama mama mwenye mji wake toa dose ya malezi sawa kwa wote

Wakati mwingine Shetani anatujaribu na Mungu anatupima imani

Unaweza kuwa mama bora sana kwa huyo mtoto na sio mama wa kambo ambao kiafrikaafrika ni watesaji wa watoto wa wenzao
 
Nawasalimu wote.

Kama mada inavyojieleza.

Mume wangu amenitaarifu anamleta rasmi mtoto wake ambae alikuwa haishi na sisi kuja kuishi na sisi. Wakati nasubiri siku ifike lazma nijiandae.i. Sina bond nae wala mazoea nae zaidi ya kumuona hiyo mara chache na sio kwamba alikuja nyumbani.

Awali ya yote sikuwahi kuwaza kuwa mama wa kambo katika maisha yangu. Dakika za mwisho kabla ya kuingia kwenye ndoa nikapewa hizo habari na nilipoambiwa mtoto hakuletwa immediately kuishi na sisi na sikujua kwanini haikuwa hivyo. Pamepita miaka mingi ndiyo analetwa.

Nifanye maandalizi yapi kisaikolojia, kimalezi nk maana nimezoea kuishi na wanangu tu na watu wanajua nina watoto hao tu. Simchukii wala nini hata shopping nimefanya sana tu kwa ajili yake ila hakuwahi kuja nyumbani hata siku moja. Kwa mimi ingekuwa better off angeletwa mapema kabisa kuliko sasa ambapo bond nae sina na wanangu nao hawana bond nae na ni mwaka huu tu wameambiwa ni ndugu yao wa damu wakashangaa mbona hawakuambiwa jambo hilo rasmi japo waliwahi muona mara 2.

Yaani waliambiwa huyu ndugu yenu lakini kivipi hawakuambiwa. Sasa mwenzangu sikujua kwanini ame act that way kutuweka mbali nae. Kwangu huenda angeletwa mapema ingekuwa bora zaidi. Bonding inakuwa easy lakini pia hata malezi angekua kulingana na aina ya malezi ambayo mimi na mwenzangu tunatoa. Babake mwenyewe hata bond nae pia siioni japo matunzo anatoa perhaps hii nayo imechangiwa na kwamba ana doubts zake ambazo amekuwa nazo kwa miaka mingi sana mpaka kusema atampima DNA ila hakuwahi kupima na miaka imeenda now sidhani kama anaona haja ya kumpima tena after all amekuwa akitoa matunzo na kusomesha.

Perhaps na yeye anatakiwa kujiandaa kisaikolojia sijui maana naonaga tu kama hajamu accept fully ila tu afanyeje maana wakati mwingine anasema hafanani nae hata kitu kimoja. Wenye uzoefu dondosheni mawili matatu kwa ajili ya hili jambo.

Natanguliza shukrani!
Mke wangu aliomba yeye mwenyewe nimlete mtoto wangu niliyempata nikiwa mwaka wa 3 chuo. Anamlea kama wa kwake tangu akiwa chekechea na sasa darasa la5. Wengi wanajua ni mwanaye wa kumzaa, mwanangu amemzoea mke wangu kuliko MAMA yake mzazi. Maswali unayojiuliza inaonesha kabisa wewe una roho mbaya na mchoyo.
 
unayosema sio kweli . Labda hujaelewa post maana kuna mahali nimesema kabisa nilitamani hata aletwe mapema akue kulingana na parenting style yangu na mume wangu. Kwamba sasa analetwa ameshakuwa sina shida. Niliulizia maandalizi yapi nifanye ili niweze uwa bora zaidi
Niwie radhi mkuu.....kwa kweli nilikuelewa vibaya.......nakutakia wakati mwema wewe na wapendwa wako.....
 
Nawasalimu wote.

Kama mada inavyojieleza.

Mume wangu amenitaarifu anamleta rasmi mtoto wake ambae alikuwa haishi na sisi kuja kuishi na sisi. Wakati nasubiri siku ifike lazma nijiandae.i. Sina bond nae wala mazoea nae zaidi ya kumuona hiyo mara chache na sio kwamba alikuja nyumbani.

Awali ya yote sikuwahi kuwaza kuwa mama wa kambo katika maisha yangu. Dakika za mwisho kabla ya kuingia kwenye ndoa nikapewa hizo habari na nilipoambiwa mtoto hakuletwa immediately kuishi na sisi na sikujua kwanini haikuwa hivyo. Pamepita miaka mingi ndiyo analetwa.

Nifanye maandalizi yapi kisaikolojia, kimalezi nk maana nimezoea kuishi na wanangu tu na watu wanajua nina watoto hao tu. Simchukii wala nini hata shopping nimefanya sana tu kwa ajili yake ila hakuwahi kuja nyumbani hata siku moja. Kwa mimi ingekuwa better off angeletwa mapema kabisa kuliko sasa ambapo bond nae sina na wanangu nao hawana bond nae na ni mwaka huu tu wameambiwa ni ndugu yao wa damu wakashangaa mbona hawakuambiwa jambo hilo rasmi japo waliwahi muona mara 2.

Yaani waliambiwa huyu ndugu yenu lakini kivipi hawakuambiwa. Sasa mwenzangu sikujua kwanini ame act that way kutuweka mbali nae. Kwangu huenda angeletwa mapema ingekuwa bora zaidi. Bonding inakuwa easy lakini pia hata malezi angekua kulingana na aina ya malezi ambayo mimi na mwenzangu tunatoa. Babake mwenyewe hata bond nae pia siioni japo matunzo anatoa perhaps hii nayo imechangiwa na kwamba ana doubts zake ambazo amekuwa nazo kwa miaka mingi sana mpaka kusema atampima DNA ila hakuwahi kupima na miaka imeenda now sidhani kama anaona haja ya kumpima tena after all amekuwa akitoa matunzo na kusomesha.

Perhaps na yeye anatakiwa kujiandaa kisaikolojia sijui maana naonaga tu kama hajamu accept fully ila tu afanyeje maana wakati mwingine anasema hafanani nae hata kitu kimoja. Wenye uzoefu dondosheni mawili matatu kwa ajili ya hili jambo.

Natanguliza shukrani!
Lazima ukweli usimame, Kwanza hakikisha unamsoma tabia zake mapema kwani wengine tayari wameshajifunza tabia mbaya na anaweza wazuru watoto wako, Lazima uwe naye karibu na kuhakikisha anafuata unayotaka, Usimuonee, usiweke negative image kwenye moyo yako kwani hata ukificha roho zinawasiliana, usiweke kinyongo kwa Mume kwani hii inaweza kukupa credit na nafasi ya ziada kwa Mume,
 
Watu
Mke wangu aliomba yeye mwenyewe nimlete mtoto wangu niliyempata nikiwa mwaka wa 3 chuo. Anamlea kama wa kwake tangu akiwa chekechea na sasa darasa la5. Wengi wanajua ni mwanaye wa kumzaa, mwanangu amemzoea mke wangu kuliko MAMA yake mzazi. Maswali unayojiuliza inaonesha kabisa wewe una roho mbaya na mchoyo.
Hujanielewa labda. Nimesema nilitamani aletwe mapema kabisa hata kabla mimi sijawa na watoto ili akulie kwangu kama first born na kwa mfumo wa malezi yangu hiyo ingenirahisishia zaidi. Lakini mtoto alichukuliwa na akapelekwa upande wa mume hakuletwa kwangu. Sasa ndio ataletwa. Roho mbaya yangu iko wapi hapo. Scenario ya mke wako na yangu tofauti. Mtoto aliletwa mapema hivyo alikuwa mdogo sana ni ilimuwia rahisi. Na mimi nilitamani aletwe akiwa mdogo lakini haikuwa hivyo. Na sasa analetwa mkubwa sio tatizo. Mambo ya mtu kusema roho mbaya sio uchoyo sielewi mtatoa wapi
 
Nashukuru sana

Mimi niiletewa wakubwa waliozaliwa kabla ya mimi kuwako napokea ila akiwa mdogo kwa wanangu simpokeiiii, tena hata sitakiwi kujua

Siko tayari kuendelea kuwa support waendelee kuzinzi
 
Lazima ukweli usimame, Kwanza hakikisha unamsoma tabia zake mapema kwani wengine tayari wameshajifunza tabia mbaya na anaweza wazuru watoto wako, Lazima uwe naye karibu na kuhakikisha anafuata unayotaka, Usimuonee, usiweke negative image kwenye moyo yako kwani hata ukificha roho zinawasiliana, usiweke kinyongo kwa Mume kwani hii inaweza kukupa credit na nafasi ya ziada kwa Mume,
Nashukuru umenielewa na napokea ushauri. Kuna wengine wamekazana sijui nina roho mbaya, mchoyo, mbinafisi. Hawagusii masuala mazima ya malezi, labda yapi ya kufanya, yapi nisifanye, yapi ya kuchunguza wamejaa lawama tu. Ubarikiwe
 
Mimi niiletewa wakubwa waliozaliwa kabla ya mimi kuwako napokea ila akiwa mdogo kwa wanangu simpokeiiii, tena hata sitakiwi kujua

Siko tayari kuendelea kuwa support waendelee kuzinzi
Na mimi nampokea kwasababu amekuwako kabla. Mdogo kuliko wanangu sipokei japo mtoto atakuwa haku applu kuzaliwa lakini siwezi ku- support uzinzi. Unaweza kuishia kuletewa letewa tu. Hiyo ni big no
 
Sijaelewa vizuri mkuu. Sasa hapo man rule the world na nini inakujaje tena wakati mambo ni maelewano. Manake ni suala la mahusiano hapa na sio siasa or anything
Yaan namaanisha huyo jamaa keshaharib maisha yako...yeshaingia doa..yaan dukuduku tayar..ni sawa umfumanie mtu halaf muachane then badae mrudiane..it wont b the same tena...sasa huyo jamaa ndo keshamleta sasa na huna cha kumfannya ndomana nmesema man rule sabab ungekua wew ndo umefanya hvyo..ungeachwa dk 0...so ..leen watoto ..yaan kubal yote n move on..ila mdo hvyo it wont be the same again.
 
Mimi nitakushauri kitu simple tu

USIMTESE mtoto wa mtu KAMWE.

Wewe mpokee mlee ila kamwe usijekuwa na mindset za utesaji,mlee km wako mvumilie kama mtoto.

Kwa vyovyote itakavyokuwa usimtese mtoto wa mtu please nakuomba.Mwisho wake sio mzuri
 
Haya maisha hayana formula,binafis sina roho mbaya nahisi ninaweza mlea mtoto wa kambo bila chuki.ila iwapo huyo mtoto sikufichwa taarifa zake.

Wewe uliolewa umeshajulishwa huyo mtoto,mpokee umlee kama wako.kama ni wa kike usitegemee akupende na kukuheshimu. Hii ni nadra.

Kama ni wa kiume atakupenda na kukuheshimu.na hutojuta kumpokea mtoto huyo.
Mtoto wa kike wa kambo ni mzuri akiletwa akiwa mdogo.kama ni binti mkubwa lazima ukutane na vitibwi.

All in all wewe mpokee tu.cha kwanza muoneshe upendo.

Kama mmeo anakupenda na kukujali huna shida yeyote.mpokee dia. pole kwa hiyo sintofahamu.
Nakubaliana na wewe kabisa baba alichepuka akapata mtoto wa kike baada ya mama kugundua akamwambia kamlete aje akae na ndugu zake akaletwa akiwa na miaka 3 mama alimlea na kumpenda Kama mwanae wa kumzaa na yeye hakujua chochote kwamba yule si mama yake mpaka alivyofika form four watu wakaanza kumpa maneno kwamba yule sio mama yako siku hiyo amerudi shule anamuuliza mama mbona watu wananiambia wewe sio mama yangu kwanini.

Mama akaona huyu keshakua akatafuta siku akakaa nae chini na kumueleza mkasa mzima kwamba kweli Mimi sio mama yako mzazi mama yako mzazi yupo mimi nimekulea tu akaelewa, lakini upendo alionao kwa huyu mama yake mlezi hata sisi wanae wa kutuzaa hatuna imefikia hatua mpaka mama yake mzazi analalamika kwamba mwanae hamjali
 
Ngoja nitafute mtoto wa nje nione vile inakua

Yaan namaanisha huyo jamaa keshaharib maisha yako...yeshaingia doa..yaan dukuduku tayar..ni sawa umfumanie mtu halaf muachane then badae mrudiane..it wont b the same tena...sasa huyo jamaa ndo keshamleta sasa na huna cha kumfannya ndomana nmesema man rule sabab ungekua wew ndo umefanya hvyo..ungeachwa dk 0...so ..leen watoto ..yaan kubal yote n move on..ila mdo hvyo it wont be the same again.
Nashukuru kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom