Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Anaweza kuiteka tu hiyo agenda na kuipeleka kwa maslahi ya taifa...So far she has nothing to loose kama atakubali but ku gain all...Tatizo ni wale wenye agenda zao binafsi ambao wanamzunguka...Akubali kusimama kama Amiri Jeshi Mkuu


..anatakiwa ajitokeze na kuweka wazi anataka kuleta jambo gani jipya ktk katiba yetu.

..Na ashawishi kwamba hicho anachopendekeza kina manufaa kwa Tanzania ya leo na kesho.
 
Hii nafasi ya Uenezi inamfaa sana Polepole, ila Mjema au Shaka hakuna kitu kabisa hapo, au wangenipa mimi hapa Jay One au Naibu waziri David Silinde..

Mimi ningepewa hii nafasi hakika naapa, CCM ingekuwa na nguvu ya kipekee na wananchi wote hadi wapinzani wataipigia kura CCM kwa wingi sbb ya hoja nzito na za kueleweka nitakazo mshauri Mwenyekiti ili nipite majukwaani kusema na umma wa Watanzania.
 
Kuhusu Silinde , ni kwamba Mama alishasema kwamba hawaamini Wasaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…