Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa Leo imekutana na kufanya UTEUZI wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo,

====
1. Daniel Chongolo - Katibu Mkuu

2. Anamringi Macha - Naibu Katibu Mkuu Bara

3. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Said Mohamed Dimwa

4. Ndugu Sophia Mjema
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi

5. Dkt. Frank Haule
Katibu wa Uchumi na Fedha

6. Mbarouk Nassor Mbarouk
Mkuu wa Idara ya Kimataifa

7. Issa Haji Gavu
Idara ya Organaizeisheni
 
Shaka alizidi.
Hakuwa na kitu kichwani zaidi ya kumsifu Rais Samia, ni dhahiri uwezo wake ulikuwa mdogo sana kwa kazi aliyopewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…