TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

Naona sura yake imepoteza nuru.. sijui shida ni nini? Ila GENTAMYCINE ni mtaalamu wa biology labda anaweza kutuambia nini shida.
Kaondoka na tatizo kama alilokuwa nalo Baba yake na likamuondoa baada ya kudumu nalo kwa muda mrefu ila huyu Mtoto kadumu nalo kwa muda mfupi.

Ngoja GENTAMYCINE niendelee Kusikiliza Wimbo wangu ninaoupenda wa 'Inde Monie' wa Kanda Bongoman ambapo 'Dally Kimoko' amelikung'uta vyema sana Gitaa lake zuri la Solo mwanzo mwisho.
 
Huyo alieanza kuongea akiwa amevaa blouse nyekundu


RIP Rosemary, na poleni sana ukoo wa Nyerere.

Namfahamu marehemu baba yake (Capt John Nyerere) alikuwa pilot fighter jets pale Ngerengere.
Hivi aliyekufa hasa ni Rosemary / Sofia?
 
Naaam mtaalamu
 
Ngoja nikasikilize hichi kibao asubuhi hii.. umesema songi moja wapo ni Indemonii?
Usikilize huo Wimbo wa 'Inde Monie' Mkuu kisha lisikilize hilo Solo Gitaa la Fundi Mwenyewe 'Dally Kimoko' lilivyo tamu ambapo linaweza Kukufanya hata ukiwa na Mwanamke / Mwanaume Kitandani ukasahau Kutumia 'Condom' na ukasababisha Maturubai ya Maombolezo yawekwe katika Familia mbalimbali nchini Tanzania.
 

Attachments

  • VID-20210728-WA0024.mp4
    8.8 MB
  • VID-20210728-WA0022.mp4
    10.8 MB

Niliambiwa kuwa Captain John Nyerere alikuwa na "mdudu" lakini siku hizi mdudu hawasumbui kabisa vijana wa generation hii: una uhakika?
 
Tunezoea kusikia kiongozi x alikuwa muhi2 kwa matibabu, leo ameruhusiwa na amepona! Mifano ipo mingi...Mama Janeth Magufuli, Dr. Kigwangala, Hata Malim Seif, etc! Sikuwahi kusikia hivyo kwa hilo li nzena mfyuuuuuu 😡!
Wewe ukipona, huwa unatangazia wapi?
 
Comment zako zinanifanya niamin kuwa ugonjwa alioumwa mwendazake unaujua
 
Dk 2 hapana.
Kupumua ama kutokupumua na ubongo kukosa oxygen ni vitu viwili tofauti. Unaweza kupigambizi kwa dakika 15 bila kuoumua lakini ubongo ukaendelea kupata oxyegn na kwa hiyo usife.
Wastani unaweza kusurvive kuanzia dakika 4 mpaka dakika 6 bila pumzi ila ukishapona kwa huo muda unaweza pata kiharusi au ubongo ukawa umeshake.
 
Kupumua ama kutokupumua na ubongo kukosa oxygen ni vitu viwili tofauti. Unaweza kupigambizi kwa dakika 15 bila kuoumua lakini ubongo ukaendelea kupata oxyegn na kwa hiyo usife.
Nilifikiri umemaanisha kifo hicho cha dakika mbili kitatokana na kukosa pumzi ndiyo maana nikaandika vile.
 
R.I.P Sophia.
Maskini!sura ni ya hayati Mwalimu Nyerere, lakini ni nini chanzo cha mauti na kafa akiwa na umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…