Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

Mwamba mbabe huyu, kuna sehem niliona eti kila nyumba lazima iwe na picha yake kama vile tunavoona mapicha ya rqis kwenye ofisi za kibongo! Na sku yake ya kuzaliwa ni national holiday. Nchi yenyewe karithi kutoka kwa mshua wake alafu kiburi hatari
 
Hata Chips mayai na ugali wa sembe ni junk foods, kaa navyo mbali.

Mayai ya kienyeji na chips hazina shida kabisa utengeneze kwako nyumbani elewa hilo vema, sbb mafuta yako nyumbani ni mazuri
 
Mwamba mbabe huyu, kuna sehem niliona eti kila nyumba lazima iwe na picha yake kama vile tunavoona mapicha ya rqis kwenye ofisi za kibongo! Na sku yake ya kuzaliwa ni national holiday. Nchi yenyewe karithi kutoka kwa mshua wake alafu kiburi hatari
Ana roho mbaya.
 
Kabla ya hivyo vyakula kuja Afrika watu walikuwa wanaishi maisha marefu sana na kulikuwa hamna magonjwa kama kansa na kisukari kwakuwa watu walikuwa wanakula vitu asilia.
Kulikua hamna magonjwa ilihali hata vipimo kuliwa hamna acha uongo sasa hayo magonjwa walikuwa wanapimaje sababu vipimo kaleta mzungu
 
Sun ni kama Gazeti la ijumaa ama kiu huku Tanzania. Asilimia kubwa ya mambo tunayoambiwa kuhusu North Korea sio ya kweli.
 
Kulikua hamna magonjwa ilihali hata vipimo kuliwa hamna acha uongo sasa hayo magonjwa walikuwa wanapimaje sababu vipimo kaleta mzungu
Mkuu swali dogo.
Ulishawahi kusikia Mhadzabe anaumwa kansa au kisukari?
Au ndo vipimo bado havijafika huko?
 
Sun ni kama Gazeti la ijumaa ama kiu huku Tanzania. Asilimia kubwa ya mambo tunayoambiwa kuhusu North Korea sio ya kweli.
New York Post, The Mirror na Dail Maily wameandika pia.
 
Kwamba vyakula vya mcdonald haviozi aisee mbona unadanganya sana alafu waziwazi

Sio haviozi tu, vimeekewa hadi addictives ingredients zinazokufanya kama teja la kula vyakula hivyo, which is very dangerous, yaani ukianza kula hivyo vyakula is like unakula addictives za aina fulani za madawa ya kulevya, just like Coke, na unaanza kushindwa kuacha kula hizo Fast Food or Junk food zao, utakula mfululizo sbb of those addictives, na utakuwa teja lao bila ww kujijua na vyakula natural or Organic or close to organic huwezi kula, utaona havina ladha au utaanza kuvikwepa na kula mara moja moja sana.
 
Haya ni mawazo yako na ni uongo
 
Kabla ya hivyo vyakula kuja Afrika watu walikuwa wanaishi maisha marefu sana na kulikuwa hamna magonjwa kama kansa na kisukari kwakuwa watu walikuwa wanakula vitu asilia.
Watu walikuwa wanaishi maisha marefu sana ya wastani wa miaka mingapi? Wahadzabe wanaishi wastani wa miaka mingapi?

Unafahamu cancer na kisukari vilikuwepo hata katika Misri ya kale ya mafarao?
Unafahamu mgiriki Hippocrates aliyieshi miaka 400 kabla ya Yesu alikuwa anazungumzia cancer??
Unafahamu mgiriki Aretaeus karne ya kwanza alikuwa anazungumiza kisukari
Kulikuwepo na processed foods enzi hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…