Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inafunguka labda mtandao tuMbona video haifunguki?
Atadeki hata vyoo vya watu lakini wapi, Halima huyoooooooo!Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa"
Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
View attachment 1558610
View attachment 1562562
Ameanza kuhukumiwa hapa hapa dunianiHuyu mwasherati atapigwa vibaya sana
Kabisa mzinzi mkubwa
Anatenda kinyume na yale aliyokuwà akiyafundisha. Ama kweli mtumikie kafir update mradi wako.Huyu ndio Gwajima mpya , achana na yule aliyejinadi kubadili madrassa kuwa sunday school .
View attachment 1572191
Mkiwa ndani ya chumba cha mkutano, halafu atokee Mwanasiasa awaambie nje kuna giza, msimuamini kamwe. Tokeni nje na mhakikishe pasi na shaka kwa macho yenu wenyewe kwamba jua lipo angani. Vinginevyo, imekula kwenu.Teh teh teh 🤣🤣 🤣, hawa wanasiasa wanarubuni raia kama watoto wadogo, cha ajabu na raia wanaangukia kwenye hadaa zao.
Kwa jinsi alivopaniv na spana za Lissu anaweza kutoa hayo maagizoTunasubiri Magufuli kutoa tamko kwamba mbuzi ni wahujumu uchumi wawekwe ndani