Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Huyu ndio Gwajima mpya , achana na yule aliyejinadi kubadili madrassa kuwa sunday school .

Uongozi wa kidemokrasia ni ule wa kufuata katiba na sheria zilizowekwa na umma,  ( 799 X 640 ).jpg
 
Yametokea maajabu ingawa wengine watasema kuwa ni bahati mbaya kama mende kuangusha kabati.

Hizi dalili siyo mzuri kwa upande wa lumumba maana dalili ya mvua ni mawingu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ishara hii haitoshi kukumbusha kuyaacha mambo ya siasa na kumrudia muumba wako..

Je, unaongozwa na roho mtakatifu ama Roho mtaka vitu!?

Itoshe kusema Wanakawe na vilivyomo ndani yake havikuhitaji

 
Teh teh teh 🤣🤣 🤣, hawa wanasiasa wanarubuni raia kama watoto wadogo, cha ajabu na raia wanaangukia kwenye hadaa zao.
Mkiwa ndani ya chumba cha mkutano, halafu atokee Mwanasiasa awaambie nje kuna giza, msimuamini kamwe. Tokeni nje na mhakikishe pasi na shaka kwa macho yenu wenyewe kwamba jua lipo angani. Vinginevyo, imekula kwenu.
 
Kawe Bila msagaji inawezekana tusaidiane kutokomeza usagaji kawe
 
Ni wakati wa Kawe kuondokana na usagaji na ndoa za jinsia moja ewe Mwanakawe wa dini zote simama na Mwenyezi Mungu kutokomeza Usagaji na ndoa za jinsia moja hasa ya kike Kawe ili Kawe iwe ya Mwenyezi Mungu
 
Hata Mbuzi wamemstukia huyo mhuni, mzinzi na tapeli. 😂😂
 
Kama Gwajima ni nabii kweli basi aachane na ubunge Kawe manake kila kitu kimeshawekwa wazi na mbuzi hao.
 
Back
Top Bottom