KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
- Thread starter
-
- #621
Kuna golf inayopiga makelele😂😂😂Volkswagen Golf manual inayopiga makelele ni sh ngap?
Makelele kama yale ya Subaru ukiingiza gear kitu kinapiga kama mluzi hiviKuna golf inayopiga makelele😂😂😂
Ewaaaa
Mkuu nitakuja na details za hizi Volvo XC90 utusadie kuzichambua.
Ona chuma hichoVolvo gari ya uhakika na usalama wake hakuna kama Volvo
Niliendesha XC90 ya 2018 ilikuwa na self parking
Yaani jamaa wako mbali sana
Nakuunga mkono mkuu... Watanzania tunatakiwa tubadilike, kuagiza gari siyo kazi sana siyo lazima utumie third party 'yaani uagize gari kwenye kampuni ya kibongo kampuni ya kibongo nayo iangize gari enhance, Beforward, sbt n.k' wakati unaweza kuagize wewe mwenyewe kwa kutumia simu yako au laptop yako tu ukiwa popote. Mitandao ya makampuni haya ipo wazi kabisa kwa kila mtu lakini bado mtu anataka apigwe.
Mkuu tunaweza kushauriana kidogo hapoKUPUNGUA KWA BEI ZA MAGARI
Salam kutoka Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji wa Magari.
USHURU umepungua kidogo hivyo bei za magari zina afadhari (Julisha ndugu na jamaa pia)
Tembelea ofisi zetu za Dar na Mbeya au piga sim 0746 267740 au 0719 989 222
Kimomwe Motors (T) Ltd
Hujafanania wanunuz wa Volkswagen. Umekaa Kama mnunuz wa FEKONSamahani kwa usumbufu hapa kidogo naomba niulize swali hapa kwa wale unaojua. Nataka ni nunue volkswagen t roc 2018 hii gari ni nzuri san imetulia na ulaji wake wa mafuta ni wakawaida san sasa nilikuwa natak ushaur wenu kwa mafundi au kwa wale wazoefu wa magari unaweza nishauri chochote