Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Picha hazifunguki
Nadhani JF wana mpango wa kuitelekeza App yao tuliyoizoea wabakie na ile nyingine (browser based). Ingekuwa sivyo wangekuwa wameshashughulikia hili tatizo maana ni kama siku ya tano kama siyo sita sasa. Melo kwa kawaida yuko very sharp kwenye issues kama hizi.

Wanataka sote tuhamie kwenye browser-based app na au browser moja kwa moja. Ambacho hawajui ni kwamba ile app tuliyoizoea ilikuwa very convenient, easy na very light! Huku kwenye browser mpaka kuzoea wengine itachukua muda...

Wanataka wote tuhamie huku kwenye application mpya ambayo ni browser-based: [emoji116][emoji116][emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…