Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Wazee mbona mnafunguka hivi kulikoni?! Kila nikitaka kufunguka moyo unaniambia Mod wa siku ile yuko zamu!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Mkuu tuache

Ova
Sawa mimi nakuacha.. ila naendelea na wengine.

NAFAHAMU hapahapa wapo ambao shetani anawaonea anawabebesha mizigo ya ulevi, uzinzi, na kutotii wazazi wao huko waliko.

Mimi ni mtumwa tu, ukinichukia sawa, usiponipenda sipungukiwi na kitu.. ILA NISIPOKUKUMBUSHA Nitakua NIMEHARIBU KAZI YA MUNGU.

Tutubu Mungu Mwema Atatusamehe.
 
TUBUNI MZIACHE NJIA ZISIZO MPENDEZA MUNGU.. MREJEE KWAKE.

Tubuni waungwana, HAKUNA DHAMBI ISIYO SAMEHEKA.
mkuu kumbe na wewe unaperuzigi jukwaa la warembo!!!! lah!!! wewe si ni mchungaji kabisa, juzi juzi tu ulikua unahubiri humu, leo jumapili umeona sio mbaya uinjoy picha za watoto warembo sio.

Kama na wewe umepitia huu uzi bila shaka na kina jakaya wanapitaga humu kimyakimya.
 
Sawa mimi nakuacha.. ila naendelea na wengine.

NAFAHAMU hapahapa wapo ambao shetani anawaonea anawabebesha mizigo ya ulevi, uzinzi, na kutotii wazazi wao huko waliko.

Mimi ni mtumwa tu, ukinichukia sawa, usiponipenda sipungukiwi na kitu.. ILA NISIPOKUKUMBUSHA Nitakua NIMEHARIBU KAZI YA MUNGU.

Tutubu Mungu Mwema Atatusamehe.
Umewaonaje warembo lkn
Umeona vyura lkn

Ova
 
mkuu kumbe na wewe unaperuzigi jukwaa la warembo!!!! lah!!! wewe si ni mchungaji kabisa, juzi juzi tu ulikua unahubiri humu, leo jumapili umeona sio mbaya uinjoy picha za watoto warembo sio.

Kama na wewe umepitia huu uzi bila shaka na kina jakaya wanapitaga humu kimyakimya.
UTUME hauchagui "chimbo"..

Nilianza huku, na wala sitawaacha mpotee..

Mimi nitaleta ujumbe huku, MWENYE KUSIKIA NA ASIKIE.. Mwenye kubadilikia na abadilike.

Atakayenuna na anune, UJUMBE NI HUU... Tubuuuuu na Uirejeze nafsi yako kwa Mungu
 
pasta kabisa wewe unajua hadi maana ya jicho!!!!!
Ndio, kwani mkisema jicho si mnamaanisha "kinyume na maumbile"? Au mnamaanisha nini?

Kula jicho Haimpendezi Muumba, Mungu aliumba UKE ili utumike kwa mambo mawili..
1.Kujamiiana ili mwanamke apate Ujauzuto.
2.Kuzaa/Kujifungua.

Aliumba njia ya haja kubwa ili kuitumia kutoa "kimba".

USIITUMIE "JICHO" KWA kuingiza chochote, Heshimu Uumbaji wa Mungu kwa maana Huko ndiko Kumheshimu na Kumtii Mungu, MUNGU HAKUKOSEA KUKUUMBA HIVYO ULIVYO.

Nasikia uchungu sana kaka.. KAMA UNAFANYA BADILIKA ACHA TAFADHALI ACHA kakaangu..
 
Umeona misambwanda lkn

Ova
 
Back
Top Bottom