Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Nisamehee kaka.

Ila naomba mimi na wewe na yule tuache kula jicho, TABIA hii haimpendezi MUNGU.
Mtumishi una mke au demu ?

Ulimpataje ?

Kama hupendi wanawake unapenda nini?

Picha za wanawake wazuri ni dhambi?

Kama hawataki kukusikia sio kwamba unapoteza muda wako tu?

Unakomaa Sana unapata faida gani?

Umehaidiwa pepo una uhakika na peponi!?

Yesu alisema tuwaache wafu wawazie wafu wao

Wewe kwanini unakomaa na wafu?

Unataja kuzikwa nao?[emoji1]

Usiumize kichwa kwa watu wenye akili na utashi kujua mema na mabaya

Kama nia yako ni thawabu nenda kawatembelee wagonjwa,kawape wahitaji, utapata nyingi Sana kuliko kuwapigia kelele watu waliojisusa[emoji1787][emoji1787]
 
.
IMG_20210912_194942_179.jpg
 
Back
Top Bottom