Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Mbona kama maana halisi ya thread inapotea?!
Wengine waende zile thread ambazo haziwakwazi, waiache hii thread kwa wanaoipenda, kwako sumu kwa wengine sukari, acha watu waishi maisha yao, wewe ishi yako uende mbinguni, siye motoni, au?!
 
UTUME hauchagui "chimbo"..

Nilianza huku, na wala sitawaacha mpotee..

Mimi nitaleta ujumbe huku, MWENYE KUSIKIA NA ASIKIE.. Mwenye kubadilikia na abadilike.

Atakayenuna na anune, UJUMBE NI HUU... Tubuuuuu na Uirejeze nafsi yako kwa Mungu
hata ukitubu, wee utaweza kuvumilia vishawishi vya warembo kama hawa na vishawishi vingine milele?

Uweze kuvumilia wee ni nani? wakati duniani hakuna aliye mkamilifu bali ni Muumba pekee.

Nenda kamuulize Gwaji boy, kama aliwahi kutegemea kufanya yaleeeee.. ni swala la muda tuu, usijione mtakatifu sana

Chamsingi ni kuomba mwisho mwema.
 
Mbona kama maana halisi ya thread inapotea?!
Wengine waende zile thread ambazo haziwakwazi, waiache hii thread kwa wanaoipenda, kwako sumu kwa wengine sukari, acha watu waishi maisha yao, wewe ishi yako uende mbinguni, siye motoni, au?!
Huyo jamaa ndo kawaida yake alienda kwenye uzi wa kula tunda, anatafuta attention
 
Dongo
20210912_191723.jpg
 
Ndio, kwani mkisema jicho si mnamaanisha "kinyume na maumbile"? Au mnamaanisha nini?

Kula jicho Haimpendezi Muumba, Mungu aliumba UKE ili utumike kwa mambo mawili..
1.Kujamiiana ili mwanamke apate Ujauzuto.
2.Kuzaa/Kujifungua.

Aliumba njia ya haja kubwa ili kuitumia kutoa "kimba".

USIITUMIE "JICHO" KWA kuingiza chochote, Heshimu Uumbaji wa Mungu kwa maana Huko ndiko Kumheshimu na Kumtii Mungu, MUNGU HAKUKOSEA KUKUUMBA HIVYO ULIVYO.

Nasikia uchungu sana kaka.. KAMA UNAFANYA BADILIKA ACHA TAFADHALI ACHA kakaangu..
Aisee! Unahubiri kwa lugha ya kibaharia!! Ongezea ongezea!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
hata ukitubu, wee utaweza kuvumilia vishawishi vya warembo kama hawa na vishawishi vingine milele?

Uweze kuvumilia wee ni nani? wakati duniani hakuna aliye mkamilifu bali ni Muumba pekee.

Nenda kamuulize Gwaji boy, kama aliwahi kutegemea kufanya yaleeeee.. ni swala la muda tuu, usijione mtakatifu sana

Chamsingi ni kuomba mwisho mwema.
MAJARIBU na VISHAWISHI ni kawaida kumpata mwanadamu LAKINI KABLA hujatii hilo jaribu MUNGU NI MWAMINIFU, Lazima atakukumbusha.. KUNA SAUTI ITAKUAMBIA "ACHA/SIO SAHIHI"

1 Wakorintho 10:13
"Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili."

Basi upatapo jaribu Nakukumbusha Jibidiishe katika KUOMBA.. Muombe Mungu, Atakutoa kwenye hilo jaribu..

Mathayo 26:41
"Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu."

Omba sana, Maana majaribu yanaanzia ndani yako, kisha utakutana nayo kwenye mlango wa kutoka chumbani kwako, hadi kazini yapo, Humu JF ndiyo yamejaa.. LAKINI WEWE KESHA UKIOMBA, MUNGU NI MWAMINIFU ATAKUEPUSHA.

Mimi nakushauri, KULIKO kuomba Mwisho Mwema (Huku ukitenda madhambi) NI HERI kuomba Toba kila wakati...

Mimi SIO MKAMILIFU, Na kila wakati kabla SIJASEMA CHOCHOTE KWA MUNGU... NAANZA NA KUTUBU DHAMBI ZANGU.. (Mungu Huwajibu kiurahisi wale walio wasafi mbele Zake)

Mungu akufanyie wepesi, Tubu Atakupa Mwisho Mwema.
 
Ndio, kwani mkisema jicho si mnamaanisha "kinyume na maumbile"? Au mnamaanisha nini?

Kula jicho Haimpendezi Muumba, Mungu aliumba UKE ili utumike kwa mambo mawili..
1.Kujamiiana ili mwanamke apate Ujauzuto.
2.Kuzaa/Kujifungua.

Aliumba njia ya haja kubwa ili kuitumia kutoa "kimba".

USIITUMIE "JICHO" KWA kuingiza chochote, Heshimu Uumbaji wa Mungu kwa maana Huko ndiko Kumheshimu na Kumtii Mungu, MUNGU HAKUKOSEA KUKUUMBA HIVYO ULIVYO.

Nasikia uchungu sana kaka.. KAMA UNAFANYA BADILIKA ACHA TAFADHALI ACHA kakaangu..
sio kwamba sisi tunapenda kula jicho, bali ni wanawake wanatuhamasisha kwa kutuonesha na kutubinulia matako yao makubwa hadharani tena kwa makusudi, wengine wanayaacha wazi/uchi na kuyatikisa kimaksudi kabisa.

Wee, unazani mtu wa dizaini hiyo anataka nini, kama sio kufukuliwa mtaro na kuliwa jicho?, na ndo raha yao.
 
Back
Top Bottom