Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Hashim Rungwe umri unamtupa mkono ndiyo maana ameanza kutamani vitu vya kitoto.

Kimsingi huyu anadhalilisha hadhi ya UPINZANI na kuifanya CCM ionekane iko makini.

Mada ya lishe mbona ni rahisi kuiongea siyo lazima ubebe ma hotpot ya ubwabwa.
 
Hakika mkuu, hii ni picha inayochorwa kuonekana upinzani wanafanya FUTUHI tu.

Hii si sawa!
 
Mahando ya ubwabwa aisee 🤣🤣🤣🤣🤣 umenikumbusha Tanga. Au we watokea wapi mwenzangu
 
Kinachoniuma hua hatoi ratiba ya maeneo anayotembelea. Nashauri atoe ratib ya wiki nzima kwa sisi wafuasi wake tujue tunamkuta wapi boss wetu na mahotpot y ubwabwa
Hahahaha!!! Ni kweli ratiba ni muhimu sana kila siku watu tujue vyuku tunagongea wapi
 
Yaan mpaka Rungwe anawachanganya hapo Lumumba..[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…